Habari zenyu bhana najua hazina majotooo !
Kiukweli vijana wanapambana though kuna makosa mengi especially kwenye eneo la striking mostly huwa hamna utulivu mzuri wa kujenga mashambulizi pia...
Hongereni wachezaji, bechi la ufundi na uongozi kiujumla kwa kazi nzuri ya mliifanya hadi kufika hapa!
Si kazi rahisi ni kujitoa kwa wachezaji na kujipathamani wao na kujiuza katika soka zaidi...
Hivi huko Dar es salaam wanaume wameisha au nini?
Yaani kwenye harusi ya mwanaume mwenzio anaoa jitu linabubujikwa machozi kama Mwashamba
Hichi kilio kinatupa mashaka
Ni maumivu kuwa Ali Kamwe...
Timu za Simba SC, Al Ahly, Esperance, Mamelodi Sundowns na RS Berkane hazitaanzia hatua za awali kwenye michuano ya CAF Champions League msimu wa 2025/26.
Timu hizo pia zitapokea kiasi cha pesa...
Uhamisho wa mshambuliaji Armando Broja kwenda Burnley unamaanisha kuwa klabu ya Chelsea imefanya mauzo zaidi ya Pauni milioni 250 kwa wachezaji kutoka akademi yao ndani ya miaka mitatu pekee...
Majira ya Saa Saba mchana wa leo, itafanyika droo ya ligi ya mabingwa Afrika pamoja na Kombe la Shirikisho Afrika kwa msimu wa 2025/2026 kwa hatua ya awali.
Droo hiyo itafanyika nchini Tanzania...
Bodi ya Nidhamu ya CAF imefungulia mashitaka Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kwa kuvunja masharti ya Usalama na Ulinzi kama yalivyoainishwa katika Kanuni za Nidhamu za CAF, Ibara ya 82...
1. Sio mchezaji mahiri kama tunavyoaminishwa
2. Yuko slow kama Jean Charles Ahoua
3. Hana maajabu yoyote uwanjani
4. Hana uwezo Kama Rally Bwalya ambaye style yake na Meama zinafanana
5...
Kuelekea Msimu wa 2025/26 utabiri wangu unaweza kuwa hivi
List yangu…
1. Man U
2. Liverpool
3. Man City
Itakayoshuka daraja Arsenal
Listi yangu ya Bongo
1. Simba
2. Yanga
3. Azam FC...
Wakati wazazi wao wakiwa ni maarufu kwa makubwa waliyoyafanya kwenye mchezo wa soka, wao wameshindwa kufikia angalau nusu ya mafanikio ya kile ambacho baba zao walikifanya walipokuwa wakicheza...
Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limetoa muongozo kwa mashabiki kufanya maombi ili kuruhusiwa kuingia uwanjani na mabango na bendera.
Maombi yanatakiwa kutumwa CAF kupitia barua pepe:
📧...
Na hata Timu yao ya Uganda Cranes ilipoweka Kambi yake si mbali na Kwangu na isitoshe Rafiki yake mkubwa wanayecheza nae Vipers FC Hillary Mukindane ni Mwanangu na alishanikutanisha nae miezi...
The draw will commence with the TotalEnergies CAF Confederation Cup Group Stage Draw at 15h00 East African Time (EAT), followed by the TotalEnergies CAF Champions League Draw at 16h00 EAT.
Live...
Msimu wa 2025/26 unaelekea kuanza, nyota wa soka la Bongo Clatous Chotta Chama na Jonas Mkude waliokuwa Yanga kwa sasa wapo huru, mastaa hao waliowahi kuwa panga pangua kwenye kikosi cha Simba...
Wakuu Kuna suala limeniuma sana Mimi kama mdau na mchambuzi pia shabiki wa Simba
Wenzetu wapo avic Town wanapigwa mazoezi heavyweight mbaya mbovu .,....lakini sisi wazee wa kina mutale wanacheza...
Unamkumbuka yule Winga msumbufu wa timu ya Taifa ya ivorycoast anayechezea Brighton, akasumbua sana watu kwenye Afcon 2023.
Basi leo kazaliwa upya Uganda kwa jina la Alain Okello...
Huyu dogo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.