Mama Esther najua ulishamsamehe show me the way ndio maana anapiga goli za hatari,anapeperusha vema bendera ya taifa,anawainua watanzania na kuwapa furaha,viva Tz,viva taifa stars,viva mama Samia...
Ligi kuu nchini Tanzania inatarajiwa kutimua vumbi mwezi september ambapo atakuwa anatafutwa bingwa mpya ya NBC premire league kabla ya ligi kuanza nimeona isiwe na shaka nije na moja ya top four...
Simba Sports Club, moja ya vilabu vikubwa na vyenye historia ndefu katika soka la Tanzania, inaonekana kupoteza makali yake dhidi ya watani wao wa jadi, Yanga SC. Kwa misimu kadhaa sasa, Simba...
Je M-beti na Simba walitudanganya? Inakuwaje Simba wakubali pesa ndogo (bilioni 20) wakati mkataba ulioisha ulikuwa bilioni 26?
Je club hiyo inaporomoka thamani? Kwanini wasingekomaa wapate...
Baadhi ya Mashabiki wa Simba SC wamechukizwa na post hii ya kumpongeza Mohamed Dewji kutajwa kuwa ndie Tajiri namba Moja Tanzania.
Je Kuna shida yoyote kumpost Mohamed Dewji na kumpongeza kwa...
Timu 30 kutoka mataifa kama Marekani, Brazil, Ujerumani na Ureno zinajiandaa kwa mashindano ya kwanza ya dunia ya roboti, ambapo roboti hao wenye akili bandia (AI) watashiriki kwenye mechi za soka...
Yaani hii timu inatia jezi Kali ila wanaharibu kukaweka kandege peke yake yaani inakua ya kawaida sana Sasa najiuliza wanaugomvi na full nembo kwenye jezi au maana naona designer wao anafeli hapo
🚨🔴⚪Shabiki wa Arsenal aitwaye "Marg" (au kwa jina jingine "Man"), ambaye aliapa mwaka wa 2015 kwamba hatanyoa ndevu zake hadi Arsenal itakaposhinda UEFA Champions League.
Hadi kufikia August 05...
"Taarifa za Kuaminika Kutoka Kambi ya Simba sports Ismailia Misri ni Kwamba Elie Mpanzu KIBISAWALA bado hajafika na hapokei simu za Viongozi..
Kundi la Pili Wachezaji ambao hawapo Kwenye Michuano...
Unaambiwa baada tu ya mechi kuisha, Wachezaji wamekula mgao wa milioni 21 kabla hata jasho halijakauka..
Na akaahidi mzigo mwingine kama huo endapo watashinda kila mchezo ulio mbele yao.
Ni...
Kwanza kabla ya yote namshukuru Mungu Huwa nikileta mada hapa jamii sports, kwa mara ya kwanza watu Huwa wanaichukulia tofauti ila baada ya mda ukweli unadhibitika!!. fuatilia mada zangu za humu...
Hili nawahakikishia mtabaki kuwa mikia tu piga ua galagaza. Kombe mtakalo chukua labda liwe na Uji.
Kikwete anaipenda sana Yanga yeye na kundi lake kubwa nyuma yake. Na Samia naye automatically...
Wengine tukisema elimu yetu ina changamoto kubwa katika kuzalisha raia wenye uwezo wa kufikiri, kung'amua mambo na hatimaye kuwa wabunifu huwa hamtuelewi. Elimu yetu imezalisha watu wa kukariri...
Baada ya timu ya Taifa ya kenya kuwafunga goli moja DRC ,Rais Ruto ametoa kwa kila mchezaji zaidi ya milioni ishirini
Kila mchezaji na benchi la ufundi ataondoka na hela ya kenya KSH milioni moja...
Nimekua nikitamani sana kuona wachezaji wenye asiri ya kiarabu katika nchi yetu bila mafanikio sijui kuna tatizo gani, kuna wakati simba walijaribu kidogo kwa golikipa ayoub na sijaona muendelezo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.