Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Nikimjua vizuri yeye Ali..kwa maana tukiishi jirani kabisa..na mama yake mzazi Ali pale Dodoma kuna sehem alipata 0..kama sio form 4 basi 6.. Yeya alikuwa akisomea secondary dar es salaam...
7 Reactions
230 Replies
35K Views
Klabu ya Simba SC imeshika nafasi ya tano kwenye orodha ya vilabu bora Barani Afrika kwa mujibu wa viwango vipya vilivyotolewa na Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF). Simba SC wamekusanya...
2 Reactions
37 Replies
3K Views
Source; FIFA Rankings
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Katika viwango vipya vya Shirikisho la mpira Afrika CAF 2025, simba sc imeibuka kinara wa afrika mashariki na kati huku ikishika nafasi ya 5 barani afrika, wakati yanga sc ikishika nafasi ya 12...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Baadhi ya Mashabiki wa Simba SC wamechukizwa na post hii ya kumpongeza Mohamed Dewji kutajwa kuwa ndie Tajiri namba Moja Tanzania. Je Kuna shida yoyote kumpost Mohamed Dewji na kumpongeza kwa...
3 Reactions
4 Replies
630 Views
Mimi GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE na huu Uzee wangu wote nikipasha kisawasawa kwa Wiki Mbili tu ukinipambanisha na huyu Mchezaji PIPINO JR aliyeniboa sana Juzi namchukulia namba na bado nazima viuri...
1 Reactions
5 Replies
580 Views
Mbwana Samatta: I’m delighted to be moving to @hac_foot!! I’ve learnt a lot about this historic and special club over the past few weeks and I believe in the project that’s being built. Thank you...
10 Reactions
37 Replies
5K Views
Hakika timu yetu imeendelea kujituma kwa bidii kupigania kombe la chan. Jana dakika za majeruhi Shomari Kapombe alipoga goli la kibabe na kuizamisha Maurtania. Pongezi kwa timu yetu....iendelee...
8 Reactions
27 Replies
2K Views
Niwatakie usiku mwema ila naamini walifanya makosa ya kiufundi kuacha kumchukua . Anyway mwakani wasirudie kosa
3 Reactions
13 Replies
809 Views
Wakuu, hivi hawa Simba Scouting yao ipoje? Yaan wamemuacha Zimbwe Jr eti Zimbwe Mzee? Nyie Simba mna akili kweli nyie Zimbwe Jr Mzee? Wakati Zimbwe Jr anapiga mpira vizuri sana tu, sasa mmemuacha...
10 Reactions
61 Replies
2K Views
Mchezaji wa Simba Elie Mpanzu hatimae ametua kambini huko misri baada ya kelele nyingi sasa ni rasmi kaungana na wenzake katika maandalizi ya msimu mpya Wale vyura wa Jangwani Mpo wapi, Mpanzu...
2 Reactions
22 Replies
1K Views
Mashabiki Wa timu yangu ya Simba SC ni kama kifaranga Cha kuku, Kila siku siku kinaambiwa kitanyonya kesho mpaka kinakua" Tuliyaona Ya Manzoki na kwenye mkutano alikuja kabisa mbele ya media na...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Dunia ya soka iko katika hali ya taharuki baada ya kuibuka kwa taarifa kuwa Manchester City huenda wakafikia secret agreement na Premier League ili kufuta mashtaka 115 ya ukiukwaji wa sheria za...
4 Reactions
5 Replies
537 Views
Ukiangalia Mechi za CHAN ndio utangundua nchi hii mafisadi wanakula sana pesa bila Aibu. Giza limetawala sana hata majukwaa ya mashabiki hayaonekani vizuri. Ni kama vile Hatukuwa tumejipanga muda...
7 Reactions
33 Replies
1K Views
GSM: Yanga bingwa Mo: Nawadai simba bilioni 87
13 Reactions
32 Replies
2K Views
Hii leo Katika Uwanja wa Taifa Benjamin Mkapa, Tanzania (Taifa Stars) itacheza na Mauritania kwenye mechi ya Kundi 'B' katika Michuano ya African Nations Championship (CHAN), ikiwa ni mechi ya...
3 Reactions
91 Replies
5K Views
Huu Muwa wa Kapombe hakuna Kipa wa kuweza Kudaka na akithubutu tu kutaka Kudaka kutafuta Sifa anaishia ICU Muhimbili.
1 Reactions
11 Replies
747 Views
guest-1787677352
Picha inajieleza. Uzi tayari.
2 Reactions
5 Replies
861 Views
Kwa mahesabu yangu zimebaki nafasi mbili za wachezaji wa kigeni mpaka sasa.....moja ni MAEMA ambaye ni kiungo mshambuliaji....nyingine NAHISI ni ya full back namba 3 kureplace valentine noumer...
3 Reactions
28 Replies
2K Views
Back
Top Bottom