Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Droo ya hatua za awali ya michuano ya Klabu Bingwa Afrika klabu ya Simba Tanzania imepangwa kucheza na Gaborone United ya Botswana. Mechi ya kwanza Simba itaanzia ugenini. Mbona tuliambiwa...
7 Reactions
11 Replies
1K Views
Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limepiga marufuku uuzaji wa tiketi kwa mechi ijayo ya CHAN 2024 kati ya Kenya na Zambia kwenye Uwanja wa Kasarani kufuatia machafuko na madai ya utapeli...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari.. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza jamaa ni bonge la mshambuliaji ana speed,nguvu na akili kubwa sana anapokua ndani ya boksi jamaa ni hatari. Yanga itakapokutana na hii timu huyu...
5 Reactions
30 Replies
2K Views
Moja ya jambo ambalo wengi hamjashtuka lililofanywa na Simba kuanzia mwishoni mwa msimu uliopita waliposaini mkataba na JayRutty hadi usajili wa sasa wa wachezaji wa Mamelodi, ni kuipa pressure ya...
7 Reactions
26 Replies
2K Views
Ubaya Ubwela!!! Leo wazee wenzangu naamini mnakumbuka kikosi hiki kilichocheza fainali ya CAF mwaka 1993. Kwa faida ya vijana wa kileo na mashabiki kindakindaki wa Simba Sports Club watambue hiki...
6 Reactions
35 Replies
3K Views
Yanga wameendelea kudhaminiwa na sport pesa kwa miaka mitatu kwa bilion 21 ============== Klabu ya Yanga Sc leo Jumatatu 11/08/2025 imeingia mkataba wa miaka mitatu (3) na Kampuni ya kubashiri...
1 Reactions
10 Replies
722 Views
Hakika Mpira unalipa sana Baadae Mlale unono 😄🙏 Source Citizen TV
1 Reactions
3 Replies
320 Views
Taifa Stars kuivaa Madagascar leo katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, inatarajiwa kushuka dimbani leo jioni kukabiliana na timu ya taifa ya Madagascar kwenye...
3 Reactions
64 Replies
6K Views
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Paramagamba Mwaluko Kabudi amelazimika kuingilia kati sakata la uchaguzi mkuu wa TFF baada ya Naibu Waziri wake Hamis Mwinjuma "MwanaFA"...
6 Reactions
17 Replies
1K Views
Kenya hawana timu nzuri lkn naangalia hapa washabiki wao mwanzo mwisho wanashangilia, watanzania tusipochukua tahadhari afcon tunaweza kupoteza. Tulipe kodi kwa maendeleo ya nchi yetu
3 Reactions
55 Replies
2K Views
Kura yako unaipleka taifa gani kwenye michuani ya CHAN mdau wa JF? Soma pia: Bado siku chache mno CHAN kuanza lakini Tanzania imepoa, hakuna promo yakutosha, mji haujapendeza kuvutia wageni
0 Reactions
10 Replies
646 Views
Uchawi wa mpira now days upo kwenye nguvu ya viungo katikati ya uwanja. Zamani uchawi wa mpira ulikuwa unaamuliwa na kasi ya mawinga ndio maana mawinga kama akina Ribbery, Arjen Robben, Wright...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Msimu utakua wa moto maniue akichukua ndooo UCL na upuuzi mwingine
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Nimeona mjadala watu wakilalamika kuhusiana na yusuph kagoma kwamba kiungo chake ni outdated na kwamba anacheza kizamani tuangalie kwanza aina za DM halafu tuwekane sawa Defensive...
7 Reactions
25 Replies
2K Views
Liverpool imeshindwa kufuruka mbele ya Crystal Palace katika mchezo wa fainali ya Community Shield uliopigwa leo Wembley, baada ya sare ya 2–2 ndani ya dakika 90 na kupoteza kwa mikwaju ya penati...
3 Reactions
10 Replies
691 Views
Baada ya droo ya caf ccl nimeona niwaonye yanga wawe makini na wachukue tahadhali zote dhidi ya timu hii ya Wiliete club de benguela ya Angola kwani sio timu kibonde ni timu iliyosukwa vizuri na...
5 Reactions
21 Replies
2K Views
Kuna haka katabia kalianza kunikera katika vilabu vya Simba na Yanga ka viongozi wa siasa kuingia katika vyumba vya kubadilishia nguo vya wachezaji baada ya mechi na wakati mwingine kabla ya mechi...
2 Reactions
9 Replies
736 Views
Kenya chini ya Ben Macchath,naiona ikizidi kuwa much strong beyond,je wakulungwa mnaionaje au mnaushauri gani? Inajivuta kwa nguvu kubwa kutoka shimoni!,we have to pull up our socks!
1 Reactions
2 Replies
419 Views
Huyu golikipa wa Simba Hussein Abel ni kipa mzuri. Anadaka kama nyani. Ila nimegundua mawazo yake yanakuwaga mbaaali sana au ni swaga zake tu. Huu ni uzi wa kusherehesha Jumapili yenu tu...
1 Reactions
2 Replies
384 Views
Back
Top Bottom