Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Mbwana bado anahangaikia hatima yake, mara Genk, mara Aston, mara Fenabache mara Ubelgiji tena. Nadhani mchango wake kwenye timu ya taifa hautoshi kuendelea kushikilia unahodha wa timu hii...
12 Reactions
15 Replies
2K Views
Mosport na Vunja Bei mnafeli wapi?mbwembwe zote kumbe mmekopi home kit ya Tunisia.
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wanajamvi ni kianza kwenye mada kuna kitu kina udhi sana unakuta shabiki analalamika sijui jezi ya simba imejaa matangazo hivi ujui. Mo pia pale anafanya biashara, timu kabla Mo ilikuwa...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
MEI 13, 2021 Anaandika Mchambuzi, SHAFII DAUDA. Binafsi sio muumini sana wa Seasons wala movies za part One mpaka Three, by nature nina uvivu wa kusoma sana au kukaa kwenye mada moja kwa muda...
10 Reactions
18 Replies
3K Views
Kila siku wewe ni kujifanya kutoa amri na ultimatum kwenye media,wewe kikaragosi ni wa kutoa amri kwa Simba au MO? kila siku ukihojiwa kazi yako kudanganya ulisoma Mass Comm South Africa na...
5 Reactions
62 Replies
5K Views
"Sijawahi kuona Jezi yenye Quality ya Juu kama hii ya Simba SC na kiukweli nitoe Sifa nyingi kwa Mtengenezaji Fred Vunjabei na hakika hana mfano Tanzania Kwani ametisha mno na sasa ni wakati wa...
3 Reactions
11 Replies
3K Views
Sports WCQ round-up: Spain lose 1st qualifier in 28 years, Italy held in Bulgaria draw 😅 Italy made it 35 games unbeaten to equal the European record run set by Spain but were held to a...
0 Reactions
0 Replies
783 Views
Yaani Wenzenu Simba SC wanajiandaa Kucheza na Vilabu vya maana Barani Afrika huku ikiwa imetoka Kucheza na vingine viwili huko Morocco ilipokuwa Pre Season nyie mnacheza na Friends Rangers FC ya...
8 Reactions
37 Replies
4K Views
Hatukatai Fred hela anayo lakini kutoa bilioni mbili kisa kutengeneza jezi hapana haiingii akilini. Bila shaka kuna mtu yupo nyuma ya dili hili, ambaye ameamua kumtumia Fred ili isionekane kila...
3 Reactions
74 Replies
10K Views
- Elimu yake watu hawana muda nayo kujua alisomea wapi maana balaa analofanya mbele ya macho yetu ni ushahidi tosha shughuli imempata anaeiweza, wapo kina gift macha wana degree zao lakini...
6 Reactions
18 Replies
2K Views
Mnamo tarehe 30/Jan/2021 Baraza la Michezo la Taifa (BMT) liliteua tume ya kusimamia uchaguzi wa Shirikisho la Riadha Tanzania. Tume ilikua chini ya uenyekiti wa Dr Jonas Tiboroah japo mchakato...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Juma Khatib ( Antonio Nugaz ) alipokuwa Yanga SC... "Haji Manara hana uwezo na bado kabisa hajaweza kumfikia Antonio Nugaz kwa Kuhamasisha, Kushawishi na kupiga Madongo ya maana na huyu ndiyo...
7 Reactions
5 Replies
1K Views
Haki ya Mungu CEO Senzo hata kusimamia tu utumiaji wa jezi hawezi halafu wachambuzi takataka wanakuambia jamaa ni kichwa kishenzi yaani wanasema alikuwa kamati ya maandalizi ya world cup jamaa ni...
3 Reactions
11 Replies
3K Views
Hao jamaa wameteuliwa kwenye kamati ya mashindano au ukipenda unaweza kuuita kamati ya roho mbaya,makolo mkae kwa kutulia
8 Reactions
56 Replies
6K Views
Ni Siku ya wananchi KAPUMBU katia doa, wamechukua msukule, walidhani wametukomoa, SIMBA ya kimataifa wenzetu team ya mkoa, ZANAKO wamechomeka YANGA wameshindwa kuchomoaaa, hayo Ni maneno ya mwanzo...
1 Reactions
7 Replies
6K Views
Yanga hali si shwari tena. Kambi mbili zinavutana. Upande huu ni uongozi uliochaguliwa na wanachama (Msolwa & Mwakalebela) Upande ule ni wa wadhamini GSM ( Engineer Hersi &Senzo) Upande wa...
9 Reactions
41 Replies
4K Views
Wadau wa mechi umofia. Nimeambiwa Taifa Stars 1 na DRC 1,ila somebody Lilayanti Lusajo yuko powa Sana sijui anachezea timu gani,ametoa pasi ya goli. Kila la heri Taifa Stars
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Jamani kama hauna popcorn kanununue haraka sana tena shushia na MO juice na kama una roho ndogo basi katafute Mo energy upate nguvu, Mzulu keshaanza mambo yake huko vyura vyurani bora hata anko...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Bondia Hassan Mwakinyo amesema bondia wa ndani ya nchi anayetaka kupigana nae aende mazoezini Ametoa fursa hiyo kwa yeyote na kama mtu hana nauli atamlipia ili wajaribiane Mwakinyo alishaweka...
3 Reactions
36 Replies
3K Views
ilikuwa 2003 mabingwa watetezi wa Africa walipotolewa na Simba SC iliyokuwa chini ya udhamini wa METL kwa usimamizi wa kijana mdogo aitwaye Mohamed Dewji akifuata nyanyo za Uncle wake azim dewji...
6 Reactions
12 Replies
3K Views
Back
Top Bottom