Kama Mchambuzi Bora wa Mpira na Mtangazaji wa EFM Oscar Oscar ameikubali Jezi mpya ya Simba SC, wewe ni nani ukatae au ubishe?

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
"Sijawahi kuona Jezi yenye Quality ya Juu kama hii ya Simba SC na kiukweli nitoe Sifa nyingi kwa Mtengenezaji Fred Vunjabei na hakika hana mfano Tanzania Kwani ametisha mno na sasa ni wakati wa Mashabiki wa Simba SC kuitafuta na Kununua kwani ni Jezi nzuri na inaonyesha kweli Simba SC ni next level kwa Tanzania", Mchambuzi na Mtangazaji wa EFM Oscar Oscar.

Chanzo: EFM Sports Headquarters

Kwangu Mimi kwa sasa Mchambuzi Bora wa Mpira na ambaye bado sijaona wa Kumfikia kwa Tanzania nzima ni Oscar Oscar.

Na Uzuri wake pia hata Shule (Elimu Kubwa) anayo vile vile tofauti na Wachambuzi wengi wenye Visetifiketi na Vidiploma vyao Uchwara wakati mwenzo Oscar Oscar sasa anaitafuta Masters Degree yake akielekea kuitafuta pia Doctorate ( PhD ) yake.

Ukiufunga Uzi huu, Kuusoma na Kukereka (Kukasirika) nao hadi ukaanza Kununa na Kusonya nakushauri tafuta tu Sumu ya Panya jirani nawe hapo uibugie (unywe) yote na Ufe kabisa.

Fred Vunjabei popote ulipo Shikamoo!
 
"Sijawahi kuona Jezi yenye Quality ya Juu kama hii ya Simba SC na kiukweli nitoe Sifa nyingi kwa Mtengenezaji Fred Vunjabei na hakika hana mfano Tanzania Kwani ametisha mno na sasa ni wakati wa Mashabiki wa Simba SC kuitafuta na Kununua kwani ni Jezi nzuri na inaonyesha kweli Simba SC ni next level kwa Tanzania", Mchambuzi na Mtangazaji wa EFM Oscar Oscar.

Chanzo: EFM Sports Headquarters

Kwangu Mimi kwa sasa Mchambuzi Bora wa Mpira na ambaye bado sijaona wa Kumfikia kwa Tanzania nzima ni Oscar Oscar.

Na Uzuri wake pia hata Shule ( Elimu Kubwa ) anayo vile vile tofauti na Wachambuzi wengi wenye Visetifiketi na Vidiploma vyao Uchwara wakati mwenzo Oscar Oscar sasa anaitafuta Masters Degree yake akielekea kuitafuta pia Doctorate ( PhD ) yake.

Ukiufunga Uzi huu, Kuusoma na Kukereka ( Kukasirika ) nao hadi ukaanza Kununa na Kusonya nakushauri tafuta tu Sumu ya Panya jirani nawe hapo uibugie ( unywe ) yote na Ufe kabisa.

Fred Vunjabei popote ulipo Shikamoo!!!
Kweli Mimi wakati nacheza na vaa jezi Adidas au puma Leo Oscar ndio anifundishe jezi nzuri na jezi ambayo Haina ubora? Kweli Dunia inakwenda Kasi Sana.
 
Back
Top Bottom