Nani yupo nyuma ya Fred katika dili la Simba?

Hatukatai Fred hela anayo lakini kutoa bilioni mbili kisa kutengeneza jezi hapana haiingii akilini. Bila shaka kuna mtu yupo nyuma ya dili hili, ambaye ameamua kumtumia Fred ili isionekane kila tenda anashinda yeye!
Je ni nani yupo nyuma ya dili hili?
Hivi utajiri wa Fred Vunja Bei unaujua wewe? Yule ni mpiganaji halali. Yaani umaskini wa wengine ujue siyo umaskini wa wote. Badala ya kufurahia Mtanzania anaweza tumeanza kuuliza maswali ya kikakasi. Kweli nyuma ya kila anayeshindwa basi kuna wasababishaji. Nimeshangaa sana hii thread.
 
Fikra potovu kijana , fred vunjabei anaingia benk yoyote ile na kupewa mkopo mkubwa au yawezekana ata benk wenyewe watu wa mikopo wanamfata yeye ili akope

Kijana yuko vizuri ni upepo wake kaona fursa kaitumia

Kama una mpango wa wewe kutuletea jez feki ushindwe mkuu
 
Tatizo sisi watanzania hatuaminiani/hatujikubali kuwa we can do something big!! Ifike sehemu tukubali kuwa Fred is big and kama kijana mwenzetu tuwe inspired
Wakati mwingine huitajiki kuwa na pesa
Unahitaji pesa za watu.wengine kufanikisha mambo

Ukipeleka mkataba wako wa na simba
Benki yoyote itakumwagia pesa

Ukipeleka proposal yako ya mkataba na simba kwa manufacture yoyote nchi yoyote ile hasa china
Hawataaacha kukuunga mkono
Wakati mwimgine huitaji pesa unahitaji brain tu kupata pesa
 
Hatukatai Fred hela anayo lakini kutoa bilioni mbili kisa kutengeneza jezi hapana haiingii akilini. Bila shaka kuna mtu yupo nyuma ya dili hili, ambaye ameamua kumtumia Fred ili isionekane kila tenda anashinda yeye!
Je ni nani yupo nyuma ya dili hili?
Tatizo akili zako ni fupi kama urefu wa pua yako

alichofanya fredy ni marketing moja kubwa sana kwa biashara yake hata kwa zaid ya miaka 10 ijayo , apate faida au hasara ndani ya hii miaka miwil sio la muhimu sana kwake, muhim n huko aendako , na Ndio lengo
 
Akili ni Mali. Bw mmoja Kijijini kwetu alianzisha mpango wa kununua Paka TZS 20k kwa mmoja! Paka wakaadimika! Akapandisha dau! Akasema paka m1 ni 40k! Paka wakazidi kuadimika! Hatimaye akasema Paka ananunua kwa 100k! Hakuna mwenye Paka! Ghafla habari zikasambaa kuna babu Kijiji cha jirani anauza Paka 1 kwa 80k na sharti hakuuzii zaidi ya Mmoja! Watu wakavamia! Wakawanunua ili kuja kumuuzia Mjasiriamali wao anaenunua kwa 100k! Shabash.... Jamaa haonekani...
Wakati mwingine huitajiki kuwa na pesa
Unahitaji pesa za watu.wengine kufanikisha mambo

Ukipeleka mkataba wako wa na simba
Benki yoyote itakumwagia pesa

Ukipeleka proposal yako ya mkataba na simba kwa manufacture yoyote nchi yoyote ile hasa china
Hawataaacha kukuunga mkono
Wakati mwimgine huitaji pesa unahitaji brain tu kupata pesa

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Hivi utajiri wa Fred Vunja Bei unaujua wewe? Yule ni mpiganaji halali. Yaani umaskini wa wengine ujue siyo umaskini wa wote. Badala ya kufurahia Mtanzania anaweza tumeanza kuuliza maswali ya kikakasi. Kweli nyuma ya kila anayeshindwa basi kuna wasababishaji. Nimeshangaa sana hii thread.

Hakuna mfanyabiashara anayetaka aweke pesa yake ipotee. Hiyo 2B ni kiini macho, na huyo Fred katumwa na wenye timu
 
Back
Top Bottom