Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Takribani jezi elfu arobaini na mbili za mabingwa wa Tanzania Simba sports club zimepigwa bei kwa siku moja. Hii ina maana kwamba ikiwa kila jezi imeuzwa kwa 30,000 basi almost 1.26Billions...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Hali si shwari huko Lamba lambani baada ya kumpa mlemavu nafasi ya kutukana matajiri. Sasa matajiri nasikia wanapanga mechi zao kuoneshwa na Dstv kuanzia tamasha la Simba Day mpaka mechi za...
21 Reactions
147 Replies
21K Views
Mwanamasumbwi wa kike raia wa Mexico, Jeanette Zacarias Zapata amefariki dunia baada ya kupita siku tano tu tangu kupokea kipigo cha ‘KO’ ulingoni. Jeanette Zacarias Zapata, 18 aliyefariki...
3 Reactions
43 Replies
5K Views
Bondia mmoja wa nchini Australia, Dwight Ritchie amefariki mara baada ya kutoka kwenye mazoezi. Bondia huyo mwenye umri wa miaka 27, na baba wa watoto watatu alikuwa ana mapambano na Michael...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kamwaga na usomi wako leo hii unalaumu Yanga kuvujisha jezi za Simba. Usuri wetu haupo kwa kuwakaribisha watu wa hovyo type ya kina mwijaku ndani ya klabu yetu hususan mambo ya Jezi. Wewe...
10 Reactions
26 Replies
2K Views
Katika hali isiyokuwa ya Kawaida Wakazi wa Kigamboni mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla wamesema kuwa Mmiliki wa eneo la Avic Town ambako ndiko Klabu ya Yanga kupitia Mdhamini wao...
7 Reactions
74 Replies
53K Views
Hassan Mwakinyo Vs Julius Indongo Rounds: 12 Winner: Mwakinyo kwa KO Title: African Boxing Union Super Welter Stay there! Matokeo yatawekwa yote ya mapambano ya utangulizi hadi main card Pambano...
3 Reactions
182 Replies
17K Views
Jezi ipi kali kati ya Simba na ile ya Yanga kwa msimu huu 2021/22
5 Reactions
65 Replies
9K Views
Azam tv nawapongeza kwa kuandaa mapambano ya boxing na kusababisha mchezo huo kuwa na mashabiki wengi Ushauri wangu ni kuwa mnatakiwa muwe na kipindi ambacho kinatoa elimu ya boxing kwani...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau wa boxing naomba kujuzwa kwa anayejua muda wa pambano kati Mwakinyo na Julius Indongo. Leo Mwakinyo atakuwa na mtihani mkubwa maana mpinzani wake siyo wa mchezo mchezo.
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wakuu hawa wanadada wamepata ushindi mnono na mko kimya tu OKW BOBAN SUNZU makaveli10 NAWATAFUNA cariha
3 Reactions
3 Replies
644 Views
Unaweka kambi Morocco bila mipango, unarudi nyumbani unacheza na Freinds Rangers kujifua na mechi ya ligi ya mabingwa. Hivi Nani kawaroga Utopolo? Anayewauzia hizi bangi viongozi wa Yanga, Mungu...
9 Reactions
47 Replies
4K Views
Ni salama jabir mshabiki na mwanachama wa simba Sc, za chini ya kapeti zinasema yeye ndio msemaji mpya wa Simba Karibu msimbazi ecejay
3 Reactions
65 Replies
8K Views
"Nasikitika kuona tunaacha Kupambana kwa Matokeo ya Uwanjani tuko katika Upuuzi wa Kushindanisha Jezi na Kushadadia kama zimevuja au hapana. Arsenal FC ndiyo Klabu yenye Jezi nzuri mno ila...
2 Reactions
44 Replies
5K Views
Hapa kuna jezi ya Tunisia ya mwaka 2019-2020 na kuna jezi ya Simba 2021-2022. Jezi ya Tunisia imetengezwa na kampuni ya Kappa wakati jezi ya Simba imetengezwa na Vunja bei. Hongereni sana Simba...
1 Reactions
20 Replies
5K Views
Nimeziona jezi za ugenini bado sijafanikiwa kupata ile ya nyumbani. Unazipa alama ngapi chini ya 10?
3 Reactions
274 Replies
36K Views
Simba imezindua jezi kuelekea msimu mpya. Tuseme basi jezi za Yanga ni bora zaidi ya Simba. Halafu? Kwa miaka kadhaa Yanga wamekua wakijanasibu kuwa na jezi bora. Sasa tujiulize maswali, mbona...
7 Reactions
22 Replies
3K Views
Nazunguzia strength, stamina, dribbling skills, shoot ,Ball control kwa ujumla ukilinganisha nani anaweza kuwa bora naomba tutaje asilimia kwa kutumia reference ya sofifa 2021 kwenye google
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Ndugu zangu ya kweli haya? Kwamba Azam Media wameona ni ujinga kutumia taasisi yao ku facilitate vita binafsi? kama ni kweli basi hongereni sana azam tv Abakize tu Asas ili akiwa anapost bidhaa...
12 Reactions
75 Replies
6K Views
Back
Top Bottom