Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Yaani kweli mlishindwana 15 millions tu kuongezea iwe 50 millions waliyotaka kagera sugar? mbona kuna wakati magarasa ya nje ya nchi yanalipiwa hadi milioni 80? huyo kijana sasa kakosa kibali...
5 Reactions
38 Replies
3K Views
Mwaka huu yanga watachukuwa kombe la afrika najua kuna watakao bisha but this is the trueth na ninafikiri wengine watanitukana na kusema ninaota na wengine watajiuliza eti kwani itawezekanaje...
7 Reactions
33 Replies
3K Views
Baada ya kuwepo sintofahamu kuhusu usajili wa mshambuliaji nyota wa Kitanzania, Yusuf Mhilu hatimaye klabu yake imetoa baraka kwa mchezaji huyo. Mhilu alitambulishwa Simba Agosti 4 mwaka huu kuwa...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Hivi huku kujitambulisha kwa Club zetu kubwa za michezo kama SC wakati unawaona ni FC , ili hali hatusikii sports zingine ndani yake kuna maana gani? Au wana timu za Boxing, Netball, Basket ball...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Mlikuwa mnamdanganya Nani? Vaeni hizo jezi Milioni moja SASA mlizonunua, Asilimia kubwa mmevaa Old model, au walionunua jezi hawajaja Uwanjani? Wamenunua jezi halafu wakaziacha nyumbni, hlf...
11 Reactions
61 Replies
6K Views
App ya simba iliyozinduliwa juzi mbona haifunguki au kuna namna ya kuifungua. Tafadhari mulioifungua tupeni njia.
1 Reactions
27 Replies
4K Views
Tukiwa tunaenda ukingoni kabisa mwa career za soka za Messi na Ronaldo, hawa jamaa hakuna tunachowadai tena, ila tumalize utata ulimkubali nani zaidi katika wakati wakiwa katika ubora wao? Mimi...
3 Reactions
38 Replies
4K Views
Ukiangalia magoli yote aliyofungwa ni mipira ambayo golikipa wa kiwango cha kawaida kabisa asingefungwa. Goli la kwanza alishindwa kuinuka haraka na kujiposition kitendo ambacho siyo kizuri kwa...
12 Reactions
60 Replies
6K Views
JICHO LA MWEWE: Haji Manara ni ‘Malaika au Shetani’? By Edo Kumwembe HAJI Manara anaingia katika rekodi ya aina yake nchini. Rekodi ambayo unaweza kuiweka katika kitabu cha rekodi ya maajabu ya...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Nimekuwa nikifuatilia mhamasishaji wa timu moja aliyepachikwa jina na waajiri wake la msukule kila mara akipost kuwa eti ana furaha. Kwa ujumla mtu mwenye kitu huwa mara chache sana kujaribu...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Leo hii mimi mwenye akili timamu namshangiliaje Haji Manara? Huyu mshenzi ambaye alitutukana kwa kila tusi aliloweza kututukana leo hii sisi wenye akili tubebane naye? Haya ni matusi. Na...
7 Reactions
42 Replies
5K Views
Wakuu kwema? Yanga leo imefikia kilele cha Wiki wanayoiita wenyewe ya Wananchi. Wametambulisha wachezaji wao wa timu ya wakubwa huku timu zao zote 3 (Wakubwa, Vijana na Wanawake) zikicheza...
6 Reactions
39 Replies
4K Views
Fundi Cherehani akiendelea kuchakata suti za wachezaji wa Yanga. Hapa ni kwa fundi Muwa pale Tandika! Kisha wakabandika nembo kuonesha ni suti za Italy 😂😂😂😂😂😂😂
13 Reactions
25 Replies
6K Views
Katika hali ya kushangaza, programu ya TBC online katika mitandao ya kijamii imeripoti kwamba goli la pili la timu ya Zanaco ya Zambia dhidi ya Yanga ya Tanzania katika tamasha la kilele cha wiki...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ninavowaangalia hawa jamaa ni kama beseni kubwa lililojaa mapapai.Wakati wengine wanajiandaa kwa vikombe,wao wanatafuta kiki juu ya maiti au kama imefufuka basi ni msukule waliomuokota baada ya...
0 Reactions
2 Replies
681 Views
Kuna baadhi ya mashabiki oya oya na wale wa makoro koro FC wanataka kutumia mechi ya yanga ya jana kufungwa Kama kichaka cha kueneza propaganda ya kuwa yanga imesajili vibaya. Watu hao nafikiri...
6 Reactions
49 Replies
5K Views
Blatter condemns European clubs Sepp Blatter has accused Europe's richest clubs of 'despicable' behaviour and engaging in 'social and economic rape' as they scour the developing world for...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Man Utd still under a big pressure. They need to win but things seem not to work out. 1 - 0 defeat from Sporting Lisbon is a shame to them! What's up Man Utd funs?
0 Reactions
27 Replies
4K Views
hapana nafikiri kila mtu sasa anaitambua majoo wa jiji kuwa wanatisha
0 Reactions
11 Replies
2K Views
"Yanga SC haiandaliwi Kiushindani Uwanjani ila kilichopungua tu sasa ni Strategy ya Kibiashara zaidi ambapo kila mwaka Timu inasajili Wachezaji wengi wa Kigeni kisha kuwatengenezea Hamasa ya...
7 Reactions
27 Replies
5K Views
Back
Top Bottom