Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Kuna tukio la aibu linaenda kutokea leo, hadi dakika hii watu wamesusa sijui maana kwa mkapa kweupeeee tofauti na tamasha la wapinzani lililopita yani ilikiwa hadi dakika hii hakuna pa kuhema...
6 Reactions
47 Replies
4K Views
Viongozi kadhaa wa timu ya Rivers United wametua katika kikosi cha Yanga wakimsaka askari aliyempiga mmoja wa viongozi wao. Tukio hilo lilijiri jana wakati Yanga ikimaliza mazoezi yake ambapo...
1 Reactions
4 Replies
766 Views
Hivi eti kuna siri gani ya wasukuma wengi kuwa mashabiki wa Yanga ?
1 Reactions
6 Replies
760 Views
[emoji4][emoji116]
3 Reactions
22 Replies
3K Views
What a waste liooooongoooo kama yule mpemba aliywfukuzwa mtibwA
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Rivers United Vs Yanga Mchezo utapigwa kesho mida ya saa kumi na mbili jioni kwa saa za Afrika ya Mashariki. Hii ni mechi marudiano baada ya mechi ya kwanza iliyopigwa hapa Dar es Salaam...
4 Reactions
47 Replies
4K Views
Kaizer Chief 4 - simba sc 0 tuwe makini kuna wakati tunafukuza watalii bila kujijua
7 Reactions
26 Replies
3K Views
Hapa nzuri ingekuwa visit Tanzania maana Kilimanjaro na Zanzibar vipo ndani Tanzania, ukisema visit Tanzania ina maana umemaliza kila kitu. Ndani ya Tanzania kuna Kilimanjaro, Zanzibar, Mikumi...
6 Reactions
23 Replies
2K Views
Jwaneng Galaxy Football Club, ni team ambayo itacheza na Simba katika michuano ya club bingwa Africa. Ni team mpya ndio kwanza inamiaka 6 tu (imeanzishwa 2015), kutoka huko BOTSWANA. Vipi mwana...
12 Reactions
60 Replies
8K Views
Sikulazimishi uiamini hii Taarifa yangu ila Taarifa ambazo nimezipata kutoka katika Chanzo changu ndani ya Yanga SC na Wadhamini wao kimenihakikishia kuwa wameshamalizana Kimjini Mjini na Rivers...
1 Reactions
31 Replies
4K Views
Nakumbuka msimu Fulani hivi timu ya Simba ilizindua jezi zilizokua na ujumbe wa kuitangaza Tanzania, mashabiki wa Yanga walikichafua sana na kubeza kuwa timu ya Simba inaitangazaje Tz kwenye ligi...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa mara ya kwanza nimejaribu aisee huu mchezo sirudii tena. Unaona timu kubwa inashinda but wanachokifanya upuuzi kabisa. PSG mmeniangusha sana. Sitarudia tena.
13 Reactions
56 Replies
8K Views
Kuna watu wamekuwa wakinong'ona kuwa Taifa letu limelogwa na hivyo tutahangaika sana kama taifa kujiletea maendeleo. Nilikuwa siamini ila sasa nimeanza kuamini. Kwanini? Kuna mambo fulani...
6 Reactions
24 Replies
2K Views
Msimu huu arsenal hatoboii yaani championship inawahusu Ndio championship...Sasa arsenal hii itamfunga nani?? Yaan hata wafukuze kocha ni mwendo wa vipigo tuu. Wachezaji wote waajabu ajabu tu...
4 Reactions
28 Replies
3K Views
Leo timu ya soka Azam iko kwenye hatua za awali za kombe la shirikisho, mechi ya kwanza Azam iliibuka na ushindi wa 3-1. Kwa sasa mechi inaelekea mapumziko na Azam inaongoza kwa goli 0-1 goli...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
MNATARAJIA HAWA WAPOPO WAFANYE FAIR PLAY? HADI SENZO NA MSUKULE MZUNGU WATAPIGWA MARUNGU TUKO HAPA WAJINGA NYIE HAMNA AKILI MNAZUIA KEY PLAYERS WAO WEEK NZIMA MNATAKA WAO WE FAIR ...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
"Tumeamua Kumuunga mkono Mheshimiwa Rais Samia katika hii Royal Tour yake kwa Kuutangaza Mlima Kilimanjaro na Kisiwa cha Zanzibar na kuanzia Mechi ijayo dhidi ya Rivers United FC na nyinginezo za...
7 Reactions
16 Replies
2K Views
Gianluigi donnarumma anakuwa golikipa wa kwanza other than Gianluigi buffon kupata cleansheet kwa italy katika mashindano makubwa ya ulaya na dunia tangu fransisco toldo alivyofanya hivyo katika...
1 Reactions
2 Replies
857 Views
Mechi ya kirafiki ya kujiweka sawa tumeichapa Enyimba 2 bila. Jumapili tunawasubiri watalii tuwafunge 3.
10 Reactions
24 Replies
2K Views
Tafadhali mnapotutumia Picha mlizopiga Uwanja wa Ndege baada ya Kutua hebu tuwekeeni pia na Picha za Mashabiki zenu baadhi Kupigwa Ngumi na Wanaijeria wakijiandaa kupanda Basi. Halafu mbona Picha...
5 Reactions
18 Replies
2K Views
Back
Top Bottom