Kashfa Wizara ya Afya na Yanga bado wanaija wanazuiliwa Bongo

sabasita

JF-Expert Member
Oct 29, 2009
1,501
392
MNATARAJIA HAWA WAPOPO WAFANYE FAIR PLAY?

HADI SENZO NA MSUKULE MZUNGU WATAPIGWA MARUNGU TUKO HAPA WAJINGA NYIE HAMNA AKILI MNAZUIA KEY PLAYERS WAO WEEK NZIMA MNATAKA WAO WE FAIR ?

Rivers United F. C.

tit1n4sohdh ·

Rivers United uncover Yanga’s plot to keep players & officials in Tanzania after testing negative to Covid-19
Rivers United football club has uncovered plans by Young Africans of Tanzania to continue to keep four players and three officials of the club in Tanzania despite testing negative to Covid-19 on Thursday September 16, 2021.
Recall, six members of Rivers United were said to have tested positive to Covid-19 barely two hours to kick-off in Sunday’s CAF Champions League 1st leg preliminary round tie at the Benjamin Mkapa National Stadium in Dars es Salam.
Consequently, the players and officials who were left behind in Tanzania had undergone Covid-19 test twice since Monday September, 13 and have observed hesitancy with the release of the result by the Tanzanian health authorities.
However, on Thursday September 16, the team underwent rapid testing and all were found to be negative. In a new twist, the Tanzanian health authorities who have refused to allow the team leave the country insisted on the team members to undergo RT-PCR test, of which the result has unnecessarily been delayed.
Thus, Rivers United football club sees the insincerity on the part of the handlers of the process as a ploy to rule the team members out of the second leg which comes up on Sunday at the Adokiye Amiesimaka Stadium in Port Harcourt.
Charles Mayuku
MO, Rivers United FC
17th September, 2021

Quote Reply
 
WAMEAHIDI NA WAMETEKELEZA SASA TUNASUBIRI BAO 4 UWANJANI

Kufanyia watu hujuma huku mkijua wazi na nyie mtaenda kwao huu ni Uzwazwa.

Mjipange tena kwa msimu ujao, hii game ya kesho mmeshatolewa. Na wachezaji wenu muhimu si ajabu nao watakosa game ya Simba tar 25. Maana bado watakuwa wamezuiliwa Nigeria kwa wiki 2 kwa kukutwa na Covid.

Kwa kuwarahisishia tu Makambo, Feisal, Manara na kipa anaedaka Mishale tayari nahisi kamavile wana Covid tangu juzi.
 
Kufanyia watu hujuma huku mkijua wazi na nyie mtaenda kwao huu ni Uzwazwa.

Mjipange tena kwa msimu ujao, hii game ya kesho mmeshatolewa.
Huwajui wanaijeria wewe, hata kama wasingefanyiwa figisu. Ukienda kwao lazima ufanyiwe.
Uzuri wake wanapenda pesa. Ukipanda dau unalindwa, hakuna cha uzalendo.
 
Sisi ni wazee wa comeback, kwahiyo subirini tutakacho wafanya hao ndugu zenu Wanigeria
 
walizoea kuwazushia tuhuma za kijinga Simba lakini Simba msimu iliopita haikuwahi kuzuia mchezaji wa timu yoyote ana corona ngoja wafike Nigeria saa kabla matoke yanatoka wachezaji wao 5 wana corona sijui watagomea kwa kanuni ipi maana ukigoma unafungiwa miaka 5
 
Hao ndg zenu wanafungwa na yunasonga mbele, tunarudi nyumbani tunawafunga kwenye ngao ya hisani makolo nyie na hamna kitu mtatufanya
 
Latika vitu ambavyo huwa vinanikereketa kwenye michezo ya Tanzania

1. Ni pale bondia kutoka nje anapomtembezea kichapo mtanzania mwanzo mwisho lakini utaona marefa bila aibu wanampa ushindi mtanzania

2. Pale simba na Yanga zinapocheza na timu za kigeni kuna watu wanajifanya makomandoo wanapambana na official wa wageni

3. Uchanja ujanja kama huu kama ni wa kweli sambamba na zile tuhuma za kupulizia dawa vyumba vya kubadilishia nguo na vitendo vya kishirikina kwa hizi timu mbili za kizaramo hizi zinaichafua nchi
 
walizoea kuwazushia tuhuma za kijinga Simba lakini Simba msimu iliopita haikuwahi kuzuia mchezaji wa timu yoyote ana corona ngoja wafike Nigeria saa kabla matoke yanatoka wachezaji wao 5 wana corona sijui watagomea kwa kanuni ipi maana ukigoma unafungiwa miaka 5
Wee FC Platinum mliwafanyaje au unafikiri hatujui.
 
Back
Top Bottom