Visit Kilimanjaro and Zanzibar haina mantiki

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,228
Hapa nzuri ingekuwa visit Tanzania maana Kilimanjaro na Zanzibar vipo ndani Tanzania, ukisema visit Tanzania ina maana umemaliza kila kitu. Ndani ya Tanzania kuna Kilimanjaro, Zanzibar, Mikumi, Selous, Ngorongoro, Serengeti n.k

Halafu Tangazo kwa mechi moja tu ya kimataifa haina mantiki kabisa wangeweka nguvu uwanjani.
Sijui baada ya Jumapili itavaliwa wapi.View attachment 1942205
 
Hapa nzuri ingekuwa visit Tanzania maana Kilimanjaro na Zanzibar vipo ndani Tanzania ,ukisema visit Tanzania ina maana umemaliza kila kitu . Ndani ya Tanzania kuna Kilimanjaro,Zanzibar ,Mikumi ,Selous ,Ngorongoro ,Serengeti n.k

Halafu Tangazo kwa mechi moja tu ya kimataifa haina mantiki kabisa wangeweka nguvu uwanjani.
Sijui baada ya jumapili itavaliwa wapi.View attachment 1942205
Sawa,hao wanaotakiwa ku-visit hata wakija huku chanika watakuwa wame Visit Tanzania hongereni kwa kumaliza kila kitu huku mkitapatapa
 
Hapa nzuri ingekuwa visit Tanzania maana Kilimanjaro na Zanzibar vipo ndani Tanzania ,ukisema visit Tanzania ina maana umemaliza kila kitu . Ndani ya Tanzania kuna Kilimanjaro,Zanzibar ,Mikumi ,Selous ,Ngorongoro ,Serengeti n.k

Halafu Tangazo kwa mechi moja tu ya kimataifa haina mantiki kabisa wangeweka nguvu uwanjani.
Sijui baada ya jumapili itavaliwa wapi.View attachment 1942205
Hujui kwamba mlima Kilimanjaro ni maarufu kuliko nchi ya Tanzania?
 
Hata hivi hao ATCL hawajafikiria.
Yaani mfano timu ipo dakika ya 87 na matokeo ni 0:0 halafu wewe unaomba OVER 1.5.
Si bora utafute timu ambazo zipo first half huko yaani simba!
 
Mechi ya Rivers vs Yanga ni saa 18:00 , Je mechi ya Simba itakuwa saa ngapi
 
Hihihi
IMG-20210917-WA0039.jpg
 
Hapa nzuri ingekuwa visit Tanzania maana Kilimanjaro na Zanzibar vipo ndani Tanzania ,ukisema visit Tanzania ina maana umemaliza kila kitu . Ndani ya Tanzania kuna Kilimanjaro,Zanzibar ,Mikumi ,Selous ,Ngorongoro ,Serengeti n.k

Halafu Tangazo kwa mechi moja tu ya kimataifa haina mantiki kabisa wangeweka nguvu uwanjani.
Sijui baada ya jumapili itavaliwa wapi.View attachment 1942205
Time INA mechi moja ya kimataifa eti inafanya utalii utopolo bhana
 
Hapa nzuri ingekuwa visit Tanzania maana Kilimanjaro na Zanzibar vipo ndani Tanzania ,ukisema visit Tanzania ina maana umemaliza kila kitu . Ndani ya Tanzania kuna Kilimanjaro,Zanzibar ,Mikumi ,Selous ,Ngorongoro ,Serengeti n.k

Halafu Tangazo kwa mechi moja tu ya kimataifa haina mantiki kabisa wangeweka nguvu uwanjani.
Sijui baada ya jumapili itavaliwa wapi.View attachment 1942205
Duh point makini
 
Leta

Leta vyenye mantiki mkuu, unapo kuwa tofauti anza na ushauri siyo kupinga kilichopo, kwani Kilimanjaro na Zanzibar ukivihitaji utavipata wapi wanajua.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom