Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Kabla ya Simba SC kucheza na TP Mazembe katika Simba Day Kauli zilikuwa ni.... "TP Mazembe ya sasa hivi ni mbovu mbovu na Simba SC imejitafutia Timu mchekea ili ishinde kirahisi" Baada ya Simba...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Wapuuzi na Wanafiki wakubwa nyie yaani tokea Mwezi wa Saba ( 7 ) tena mwanzoni mlijua kuwa Mwezi Septemba mtacheza CAF CL kwanini hamkujiandaa vizuri na Kimkakati zaidi? Sasa hivi nikikutana tu...
0 Reactions
1 Replies
782 Views
1. Nimefungwa na Timu Bora mwenzangu na ambaye ameshakuwa Bingwa wa CAF CL mara Tano tofauti na Zanaco FC au Rivers United FC. 2. Nimefungwa na Timu yenye Uzoefu mkubwa wa Kimpira kuliko Zanaco...
8 Reactions
12 Replies
2K Views
Pamoja na Kusukumizwa Nje Ya Mashindano ya CL Ya CAF na kubakia Kuwa 'Wapenzi Watazamaji' huku ikiziacha timu Za Azam, Biashara na Simba zikiendelea kwa hatua inayofuata. Mashabiki na Wapenzi Wa...
4 Reactions
11 Replies
2K Views
Kutokana wacheji wapya kutokuwa pamoja na kuzoeana,matokeo haya yasitutishe wala kutukatisha tamaa,tunawachezaji wazuri wakikaa pamoja kwa muda mrefu tutakuwa na timu bora kabisa. Wale wenzetu wa...
5 Reactions
37 Replies
2K Views
Tumefungwa tena na kutolewa katika mashindano ya ligi ya mabingwa ya Afrika baada ya kufungwa tena 1 bila hivyo matokeo kuwa Rivers United 2 Yanga 0. Viongozi wote wa Yanga inabidi wajiuzulu na...
6 Reactions
31 Replies
3K Views
Hivi ni Mimi peke yangu kama mechi inatangazwa na Peter Drury naongeza sauti EPL?..kuna mtangazaji yeyote anae mkaribia Tu huyu jamaa? Ndo maana mechi kubwa zote huyu jamaa lazima atangaze...
16 Reactions
63 Replies
7K Views
Mnaobeti Kazi ni Kwenu tu kwani Senzo Mbatha Mazingisa kwa Maagizo ya Wadhamini Wakuu wa Klabu MSG wameshamalizana Kimjini Mjini na Rivers United FC na Kesho wanafungwa ama 2 kwa 0 au 3 kwa 1 na...
3 Reactions
28 Replies
3K Views
Mbwana samatta na timu yake ya Royal Antwerp wapo uwanjani muda huu wakipepetana na RFS seraing kunako jupiler pro league. Unaweza kucheki live through hesgoal.com
2 Reactions
4 Replies
994 Views
Natoa ushauri huu ili sisi ambao hatutaweza ingia mkapa tuweze shangilia nasi
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Nilikuwa nasubilia kwa hamu Sana nione timu inayosemwa iko vizuri msimu huu maana yanga ilipofungwa na zanaco kuna wajinga fulani fulani humu waliibuka na kuanza kutoa kila aina ya kejeli na...
15 Reactions
23 Replies
2K Views
Naingia kwenye hoja moja kwa moja lakini awali ya yote naomba ku declare intest kwamba mimi ni mwanaSimba kindakindaki. Nina imani Simba Day ya leo tarehe 19/9/2021 imeandaliwa vizuri kimkakati na...
18 Reactions
101 Replies
7K Views
Klabu ya Tottenham imemsimamisha kazi Kocha Mkuu Jose Mourinho kufuatia msururu wa matokeo duni klabuni humo. - (The Telegraph wameripoti). ======= LONDON (AP) — Tottenham fired Jose...
4 Reactions
46 Replies
6K Views
Naomba nitolewe tongotongo. Vipi ikitokea mpaka tarehe 25/9 ITC hazijafika kwa wachezaji wale wa3 wa Yanga je, watarusiwa kucheza mechi dhidi ya Simba ya ngao ya hisani!!!?? Nawasilisha
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Natabiri baada ya utopolo kufyekwa ndugu zao wa matopeni nao mbioni kuondoshwa sioni wakifika mbali wakijitahidi sana wataishia raundi ya 2
2 Reactions
8 Replies
873 Views
Job Ndugai ni Spika wa Bunge la Tanzania , huu ni wadhifa mkubwa mno, mtu mwenye cheo hiki anastahili kupendwa na kuheshimiwa na kila mtu katika nchi hii , Huyu ni kiongozi wa Mhimili muhimu mno...
5 Reactions
36 Replies
3K Views
Leo nipo tayari Simba afungwe hata 20-0 na Tp Mazembe lakini sio yanga kushinda au kufunga goal hata moja dhidi ya Rivers united Nipo tayari kuona uwanja wa mkapa una watu buku lakin sio kuona...
9 Reactions
25 Replies
2K Views
Taarifa kwamba zaidi ya wachezaji wapatao 6 wa Young Africans kukutwa na dalili za Covid 19 Ni za kweli? Wachezaji wanaosemekana kukumbwa na dalili hizo chanzo kimeeleza Ni Kaseke, Adeyu...
7 Reactions
43 Replies
6K Views
Unajua mashabiki wa Utopolo wanapenda kushabikia mambo ya kiutopolo kama kujaza uwanja. Sasa Simba Leo tumefunga huo mjadala Kwa kujaza uwanja kabla ya saa nane mchana. Kudadadeki. Sasa hatutaki...
13 Reactions
33 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…