Roho ya kichawi imeniingia leo

homeless1

JF-Expert Member
Sep 24, 2020
427
950
Leo nipo tayari Simba afungwe hata 20-0 na Tp Mazembe lakini sio yanga kushinda au kufunga goal hata moja dhidi ya Rivers united

Nipo tayari kuona uwanja wa mkapa una watu buku lakin sio kuona Rivers anapoteza kwao.

Sisi wa Tanzania kwa muda mrefu tumekua wapenzi wa movie za Nigeria kwanini tusipende soka la Nigeria hakika yanga mkatoe angalau sare au kupoteza kabisa.

Msijali katika hili kwani Simba Sc,Azama Fc na Biashara zitawabeba tena msimu ujao kwa mara nyingine tena mana nyie ndio team pekee isiokua na shukrani Tanzania hii.

Yanga Sc endeleen kuwekeza nje ya uwanja na kua na watu nje ya uwanja na kusajiri watu kama manara lakini ndani ya uwanja mue hivyo hivyo ( hivyoje ni hivyo hivyo).

Najua mnaombea Mazembe atufunge na nyie mshinde goli zaid ya moja ila nawakumbusha kuwa mtaka vyote kwa pupa hukosa vyote yani mnaweza fungwa leo na Simba akashinda.

NB; LIGI KUU ITAANZA YANGA AKIWA KATOLEWA MASHINDANO YA KIMATAIFA NA KUA TEAM PEKEE TOKA TANZANIA ILIO LILETEA TAIFA AIBU NA TANZANIA KUBAKI NA WAWAKILISHI WATATU WANAOSTAHILI KIMATAIFA
 
Kila la heri rivers sisi wote ni waafrika

FB_IMG_16315697200869230.jpeg
 
Leo nipo tayari Simba afungwe hata 20-0 na Tp Mazembe lakini sio yanga kushinda au kufunga goal hata moja dhidi ya Rivers united.

Nipo tayari kuona uwanja wa mkapa una watu buku lakin sio kuona Rivers anapoteza kwao...
Mkuu unatafuta excuse nini ukitokea mambo hayakuwa mazuri kwa mkapa?
 
Leo nipo tayari Simba afungwe hata 20-0 na Tp Mazembe lakini sio yanga kushinda au kufunga goal hata moja dhidi ya Rivers united.

Nipo tayari kuona uwanja wa mkapa una watu buku lakin sio kuona Rivers anapoteza kwao...
Azama FC ni timu mpya?

Huenda kuna timu mpya harafu hatuambizani
 
Leo nipo tayari Simba afungwe hata 20-0 na Tp Mazembe lakini sio yanga kushinda au kufunga goal hata moja dhidi ya Rivers united

Nipo tayari kuona uwanja wa mkapa una watu buku lakin sio kuona Rivers anapoteza kwao.

Sisi wa Tanzania kwa muda mrefu tumekua wapenzi wa movie za Nigeria kwanini tusipende soka la Nigeria hakika yanga mkatoe angalau sare au kupoteza kabisa.

Msijali katika hili kwani Simba Sc,Azama Fc na Biashara zitawabeba tena msimu ujao kwa mara nyingine tena mana nyie ndio team pekee isiokua na shukrani Tanzania hii.

Yanga Sc endeleen kuwekeza nje ya uwanja na kua na watu nje ya uwanja na kusajiri watu kama manara lakini ndani ya uwanja mue hivyo hivyo ( hivyoje ni hivyo hivyo).

Najua mnaombea Mazembe atufunge na nyie mshinde goli zaid ya moja ila nawakumbusha kuwa mtaka vyote kwa pupa hukosa vyote yani mnaweza fungwa leo na Simba akashinda.

NB; LIGI KUU ITAANZA YANGA AKIWA KATOLEWA MASHINDANO YA KIMATAIFA NA KUA TEAM PEKEE TOKA TANZANIA ILIO LILETEA TAIFA AIBU NA TANZANIA KUBAKI NA WAWAKILISHI WATATU WANAOSTAHILI KIMATAIFA
Duh bila shaka wew ni mwenyekiti wa kamati ya roho mbaya big up!!
 
Kamati ya roho mbaya kazini hata mimi naungana na wewe hao mikia wapigwe tu maana watachonga sana!
Mwisho wa kelele,Tambo,Mbwembwe na Majigambo ya Nyama pori ni kwenye Ngao ya jamii siyo mbali wiki ijayo 25/9/2021. Ni kipigo bila huruma,kama nawaona vile Kapombe,Tshabalala,Wawa na Onyango tabu watakayokutana nayo huku Djuma shabani,Kule makambo na kule Mayele huku Mukoko,Bangala Litombo na Kharidi Aucho kule Ntibazonkiza pale Fei Toto Maestro .Kazi ipo,ndiyo maana nasema na Narudia kusema tena Ole wao wanaocheka sasa maana badae watadharilika, watalia na kusaga meno pale kwa Mkapa.
 
Goli moja wanataka kupindua meza wangepigwa nne kama sisi si wangetaka kupindua nchi
Wewe Simba SC iko wazi na historia inaonyesha umezoea kupigwa nyingi nyingi,Ndiyo tabia yako hatuna mashaka wala ubishi na wewe umezoea kulidhalilisha Taifa letu kwa kupigwa nyingi nyingi
 
Leo nipo tayari Simba afungwe hata 20-0 na Tp Mazembe lakini sio yanga kushinda au kufunga goal hata moja dhidi ya Rivers united

Nipo tayari kuona uwanja wa mkapa una watu buku lakin sio kuona Rivers anapoteza kwao.

Sisi wa Tanzania kwa muda mrefu tumekua wapenzi wa movie za Nigeria kwanini tusipende soka la Nigeria hakika yanga mkatoe angalau sare au kupoteza kabisa.

Msijali katika hili kwani Simba Sc,Azama Fc na Biashara zitawabeba tena msimu ujao kwa mara nyingine tena mana nyie ndio team pekee isiokua na shukrani Tanzania hii.

Yanga Sc endeleen kuwekeza nje ya uwanja na kua na watu nje ya uwanja na kusajiri watu kama manara lakini ndani ya uwanja mue hivyo hivyo ( hivyoje ni hivyo hivyo).

Najua mnaombea Mazembe atufunge na nyie mshinde goli zaid ya moja ila nawakumbusha kuwa mtaka vyote kwa pupa hukosa vyote yani mnaweza fungwa leo na Simba akashinda.

NB; LIGI KUU ITAANZA YANGA AKIWA KATOLEWA MASHINDANO YA KIMATAIFA NA KUA TEAM PEKEE TOKA TANZANIA ILIO LILETEA TAIFA AIBU NA TANZANIA KUBAKI NA WAWAKILISHI WATATU WANAOSTAHILI KIMATAIFA
Sio kwamba una roho ya kichawi bali unao uchawi wa kurithi uliuanza ukingali mdogo, watu Kama nyie ndo mnaoturudisha nyuma kwenye maendeleo ya soka na inawezekana wewe ndo ulikuwaga kinara wa kubeba wale paka weusi kwenye mechi za simba
 
Sawa kaka

Back
Top Bottom