Kabla ya match ya Ngao ya Jamii,hapa kwenye Jukwaa la Michezo kulikuwa zinaletwa nyuzi za kuikashifu, kugombanisha, kuitweza na kufitinisha viongozi wa Yanga, GSM na Mashabiki wao wakiongozwa na...
Hamjambo.
Leo nimepata wasaa wa kutazama mechi mbili za Simba SC ambazo Sadio Kanoute alipata kucheza. Mechi dhidi ya TP Mazembe & Dar es Salaam Young Africans SC.
Wachambuzi wengi wa Kitanzania...
Najua kuna mtakaonipinga sana, cha kwanza Chris Mugalu hata kama wakija Bayern munich hapa akawafunga kwangu nitalichukulia ni lijinga tu limepiiga fluke halina tofauti na Giroud tena afadhali ya...
Leo katika kipindi cha magazeti cha Radio Free kurasa za michezo mdada kanisitua baada ya kusema 'Ansufati anatabiri timu yake kuchukua ubingwa wa ligi ya England', akisema habari hiyo ni ya...
Mascot refers to a person or thing that is supposed to bring good luck or that is used to symbolize a particular event or organization.
Mascot ya yanga ni nini?
Ni Chura? Hivi kabisa chura ndo...
wakuu salaam,
Chama na Miqueson walichangia magoli 40+ ambayo ni zaidi ya nusu ya magoal yote tulopata msimu uliopita, leo hawapo na sajili tulizofanya hazioneshi dalili ya kutengeneza walau nusu...
Hoja imekuja kwamba hakuna mtanzania mwenye udambwi udambwi kama huu, huyu kijana afanyiwe uchunguzi ijulikane kama ni raia wa senegal au ivory coast au brazil basi alipiwe zile ada wanazolipiwa...
Mpira ni mchezo wa ungwana, simba iliposhinda Kigoma yanga walivaa medali kama mshindi wa pili, hii inaonyesha simba sio hawajui fair play, wanataka wao tu wawe wanashinda, wamesahau kuwa ni zama...
Ukiona mke wako anakufanyia jeuri /kiburi Wala usifikiri anazuzuliwa na MTU maana... Kanakuwaga kajinga jinga Fulani hivi kasiko Na mbele Wala nyuma.
Ukitaka ku prove ninacho kwambia, wewe...
Hawa jamaa kipindi chao kimejikita katika ueledi na sio uchonganishi. Habari zao zinazingatia taarifa rasmi na si vinginevyo.
Katika chambuzi zao hawaegemei upande wowote, na wanaongea wakiwa...
Siwezi kukupa pole kwa matokeo ya leo maana wewe umesababisha wanasimba kibao kufa na wengine kupata magonjwa yasiyotibika kwa tabiri zako uchwara. Tangu mwaka juzi kila inapofikia tarehe ya Simba...
Wape salaaamu!
Nakemea vikali kama sio kuwaonya basi kuwashauri TFF, ni juu ya hii propaganda ya kuhusisha soka na mambo ya chanjo moja kwa moja.
Katika mechi ya watani, almaarufu Kariakoo...
Leo tarehe 25 kwenye mechi ya Ngao ya Jamii Yanga SC wamefanikiwa kuwafunga Simba SC kwa goli 1-0.
Pamoja na matokeo hayo binafsi nimeridhika Sana na kiwango pamoja na competitiveness waliyokuwa...
Afande Rashid wa kituo cha polisi Mpwapwa, amepoteza maisha baada ya timu yake ya Yanga kuifunga Simba jana kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii.
Afande alishikwa na furaha iliyopitiliza hali...
Habari iliyopo mjini ni utopolo kuangukia pua asubuhi na mapema caf champions league!! Hizi takwimu za mapato ya msimu uliopita mngetoa msimu uliopita!! Acha tuongelee habari ya mjini kwa sasa !
Habari zenu wakuu,
Mchezo Kati ya SIMBA SC dhidi ya Biashara United umemalizika kwa ushindi mnono baada ya Mnyama kumchakaza mtu kwa jumla ya mabao manne kwa nunge.
Ila Kuna huyu mchezaji mpya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.