Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Kwa hakika leo wananchi wanaenda kufurahi sana wanaenda kuimaliza siku kwa furaha Kwa kikosi hiki japo hakina muda mrefu pamoja upande wa pili huko ni homa na matumbo ya kuharisha kwa kwenda...
5 Reactions
15 Replies
1K Views
Huu ni mtazamo wangu binafsi wa kiufundi kwenye mechi ya leo ambayo Mabingwa Wa Kihistoria wamerudi kwa staili mpya. Mabeki wa Kushoto/Kulia wa Simba SC walikuwa wakishinda nyuma wakati wote...
5 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwa sisi tunaojua mpira tumefurahia sana kazi ya kiungo wa Dar Young Africa Feisal a.k.a Fei Toto
7 Reactions
24 Replies
4K Views
Hawa majamaa wawili ni moto fire, je kati ya hawa mandume nani atakaye ahinda?
0 Reactions
1 Replies
500 Views
Hivi Mbagala kuna nini lakini hadi watu wawe na ulimbukeni kiasi hiki ? mechi imechezwa Jumamosi lakini vigoma hadi leo Jumapili ! Aibu kubwa sana !
4 Reactions
8 Replies
945 Views
#NgaoYaJamii FT: Simba 0-1 Yanga Mayele 11'[emoji460] -Nimekitizama kikosi cha Yanga Wanamabadiliko makubwa sana kulinganisha na Mchezo wao wa mwisho walio ucheza dhidi ya Simba wamefanya...
8 Reactions
11 Replies
2K Views
Nilishtushwa sana na tetesi zilizokjwa zinsema ronaldo to the citizen Nikajisemea na vitimu vyetu hivi vibovu tutalia na kusaga meno Mungu sio Ambagile cr7 huyo utd anateseka tu timu hovyo...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Kapombe 30+ Hussein 30+ Onyango 40+ Wawa 30+ Mkude 30+ Mzamilu 30+ Dilunga 30+ Boko 30+ Nyoni 40+ Kagere 30+ Mugalu 30+ Hawa wazee ndio mnawategemea kuifunga Yanga ?
7 Reactions
22 Replies
2K Views
Tukielekea derby ya Simba na yanga Nawaonya simba mcheze kwa nidhamu Kadi nyekundu ya kigoma na udhaifu wa kupewa red kd Onyango leo refa anaingia na akili zenu one mistake mtasoma namba msiseme...
6 Reactions
36 Replies
4K Views
Yes ndiyo nimesema kwa sababu ya mechi ya utopolo, nimegundua tu kwamba mzungu wetu ni very stubborn yaani ana ka system chake fulani hakana plan b Tusijipe ugonjwa wa moyo kwamba eti nusu...
6 Reactions
22 Replies
3K Views
Si ulisema kuwa huko ndiko ulikokuwa ukikupenda? Sasa mbona tokea jana unaogopa Kusogelea hiyo Kambi baada ya kuambiwa unaweza ukaondoka duniani Kikafara ili unaowapenda Washinde Jumamosi? Na...
4 Reactions
21 Replies
3K Views
Tanzania tuna vichambuzi uchwara vya michezo. Eti mtu akishawafahamu wachezaji 10 wa timu za Ulaya eti anatafuta kiredio uchwara nae akachambue habari za michezo. Ni watu wanaokatisha Tamaa...
8 Reactions
35 Replies
3K Views
Simba 0 Yanga 1 Man Utd 0 Villa 1
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu na wapenzi Wa Ndondi aka Masumbwi, Anthony Joshua will face Oleksandr Usyk on September 25, Eddie Hearn has confirmed. screpa
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Binafsi sifurahishwi na muundo wa bodi za mabus wanayopewa Simba. Haya mabodi yamekaa kishamba sana.Utaona hakuna ubunifu sehemu ya mbele ubavuni.Ni kama nafasi ilibaki wazi wakaanza kuweka...
4 Reactions
34 Replies
3K Views
Kama huna takwimu unaweza kujisemea chochote, na kujisemea chochote ni kuropoka. Kila aliyesema Simba ni kubwa kuliko Yanga aliropoka tu kulifurahisha kundi lake na kupunguza sonona yake...
11 Reactions
36 Replies
3K Views
Kutokana na tarehe ya leo kuwa haigawanyiki kwa mbili kama ambavyo herufi ya mwanzo ya timu ya Man City haigawanyiki kwa mbili, basi nyota ya Man City leo inang'aa sana na ikichagizwa na muda wa...
6 Reactions
34 Replies
4K Views
Ninaamini kabisa Uwezo wa kuiadhibu SSC ulikuwa ni mkubwa sana na muda mwingi TP Mazembe walipokuwa na mpira walifanya mashambulizi CONSTRUCTIVE, ni vile tu walijua ni Friendly Match. SSC kama...
7 Reactions
115 Replies
8K Views
Wadau Bila kupepesa Maneno na kwa Mujibu wa KATIBA ya TFF Mchezo wa Kugombania NGAO ya HISANI huwa Baina ya Timu BINGWA wa NCHI na Timu BINGWA wa KOMBE la SHIRIKISHO. SIMBA ndio BINGWA wa NCHI na...
2 Reactions
7 Replies
3K Views
Tulikuwa Zanzibar na tumekuja na Mtaalamu mwingine na kukutana Katikati ya Jiji. Hii matches uhakika wa kushinda ni Asilimi 101. Wanayanga ondoeni shaka. Ushirikiano na Viongozi ulikuwa mzuri na...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Back
Top Bottom