Tusidanganyane: Sadio Kanoute Sio Box-2-Box Midfielder

demigod

JF-Expert Member
Jan 2, 2015
8,237
15,079
Hamjambo.

Leo nimepata wasaa wa kutazama mechi mbili za Simba SC ambazo Sadio Kanoute alipata kucheza. Mechi dhidi ya TP Mazembe & Dar es Salaam Young Africans SC.

Wachambuzi wengi wa Kitanzania wametanabaisha kuwa Sadio Kanoute ni Box-2-Box midfield. Hilo nimelikataa kabisa.

Baada ya mchezaji huyo kuonekana kuwa hajaweza kuvaa vyema viatu vya Tripple C ndipo kundi dogo la watu likaamua kumpachika aina hiyo ya mchezaji. Kabla sijaendelea mbele nitoe maana zaidi ya nini maana ya Box-to-Box midfielder.

Box-to-Box midfielder: Ni kiungo wa kati ambaye mwenye kumiliki ufanisi wa hali ya juu katika box lake la ulinzi pale timu yake inapo shambuliwa na wakato huo huo ana uwezo wa kutimiza jukumu la usaidizi wa ushambuliaji katika box la mpinzani pia katika ufanisi wa hali ya juu.

Kiashiria kikuu cha kuamua kama kiungo ni Box-to-Box midfielder ni:
1. idadi ya tackles, take-ons na interceptions ambazo anazozifanya katika box lake la ulinzi.
2. Idadi ya Magoli, shots on target na assists ambazo anazozifanya katika box la mpinzani pale timu yake inaposhambulia.

Mfano halisi wa Box-to-Box midfielders ni kama vile Bastian Schweinsteiger, Yaya Touré, Patrick Vieira, Frank Lampard na Stven Gerrard.

Jambo la msingi unalopaswa kulifahamu kutoka hapo juu ni kwamba B2B Midfielder anapaswa kuwa na uwiano sawa wa kile amnachokifanya katika mabox yote mawili.

Tukirudi kwa Sadio Kanoute.
Katika mechi ya hivi karibuni dhidi ya Dar es salaam Young Africans SC hakuwa na takwimu zinazo akisi jukumu la B2B Midfielder. Kwa mfano;
Alikuwa na 0 shot on target kati ya mashuti 3.
Alifanya successful tackles 2 tu.
Na Interception 1
Mashuti 2 tu kati ya mashuti 12

Katika mechi dhidi ya TP Mazembe hakuwa na takwimu zinazo akisi jukumu la B2B Midfielder. Kwa mfano;
Alikuwa na 0 shot on target kati ya mashuti 4.
Alifanya successful tackles 1 tu.
Na Interception 1
Mashuti 0 tu kati ya mashuti 3

Hizi takwimu zinabainisha kutokuwapo kwa uwiano katika maeneo makuu mawili ambayo anapaswa kuwajibika katika uwiano ulio sawia.

Sadio Kanoute ni mchezaji bora kati ya wachezaji wote wa simba waliosajiliwa na waliopo kikosini hivi sasa, lakini tutakuwa tumeukosea heshima mpira wa miguu kama tukimuita B2B Midfielder.
 
Kwani huyo kanoute na chama wanacheza namba sawa

Pia chama nae alivyofika tu Tanzania ndani ya mechi mbili za mwanzo tukaona makali yake?

Andrew shevchenko alikuwa bonge la mshambuliaji ac milan ila alivyohamia chelsea tu akaonekana garasa.

Mtazame lukaku wa everton na kukaku wa manchester utd, belgium, intermilan na sasa chelsea kama ni lukaku sawa sawa

Ama fernando torres wa liverpool na chelsea ni watu wawili tofauti .

Mimi ni shabiki wa yanga lia lia.. ila siwez mkubali mchezaji ama kumkosoa kwa mechi chache.

Michael sarpong mechi za kwanza nilimkubali sana ila mbeleni nikamkataa
 
Hamjambo.

Leo nimepata wasaa wa kutazama mechi mbili za Simba SC ambazo Sadio Kanoute alipata kucheza. Mechi dhidi ya TP Mazembe & Dar es Salaam Young Africans SC.

Wachambuzi wengi wa Kitanzania wametanabaisha kuwa Sadio Kanoute ni Box-2-Box midfield. Hilo nimelikataa kabisa.

Baada ya mchezaji huyo kuonekana kuwa hajaweza kuvaa vyema viatu vya Tripple C ndipo kundi dogo la watu likaamua kumpachika aina hiyo ya mchezaji. Kabla sijaendelea mbele nitoe maana zaidi ya nini maana ya Box-to-Box midfielder.

Box-to-Box midfielder: Ni kiungo wa kati ambaye mwenye kumiliki ufanisi wa hali ya juu katika box lake la ulinzi pale timu yake inapo shambuliwa na wakato huo huo ana uwezo wa kutimiza jukumu la usaidizi wa ushambuliaji katika box la mpinzani pia katika ufanisi wa hali ya juu.

Kiashiria kikuu cha kuamua kama kiungo ni Box-to-Box midfielder ni:-
1. idadi ya tackles, take-ons na interceptions ambazo anazozifanya katika box lake la ulinzi.
2. Idadi ya Magoli, shots on target na assists ambazo anazozifanya katika box la mpinzani pale timu yake inaposhambulia.

Mfano halisi wa Box-to-Box midfielders ni kama vile Bastian Schweinsteiger, Yaya Touré, Patrick Vieira, Frank Lampard na Stven Gerrard.

Jambo la msingi unalopaswa kulifahamu kutoka hapo juu ni kwamba B2B Midfielder anapaswa kuwa na uwiano sawa wa kile amnachokifanya katika mabox yote mawili.

Tukirudi kwa Sadio Kanoute.
Katika mechi ya hivi karibuni dhidi ya Dar es salaam Young Africans SC hakuwa na takwimu zinazo akisi jukumu la B2B Midfielder. Kwa mfano;
Alikuwa na 0 shot on target kati ya mashuti 3.
Alifanya successful tackles 2 tu.
Na Interception 1
Mashuti 2 tu kati ya mashuti 12

Katika mechi dhidi ya TP Mazembe hakuwa na takwimu zinazo akisi jukumu la B2B Midfielder. Kwa mfano;
Alikuwa na 0 shot on target kati ya mashuti 4.
Alifanya successful tackles 1 tu.
Na Interception 1
Mashuti 0 tu kati ya mashuti 3

Hizi takwimu zinabainisha kutokuwapo kwa uwiano katika maeneo makuu mawili ambayo anapaswa kuwajibika katika uwiano ulio sawia.

Sadio Kanoute ni mchezaji bora kati ya wachezaji wote wa simba waliosajiliwa na waliopo kikosini hivi sasa, lakini tutakuwa tumeukosea heshima mpira wa miguu kama tukimuita B2B Midfielder.
 
Mm simba nawashangaaa kutwa kuwasifia wachezaji wao hasa hao Wapya lkn mbona mechi ya mazembe hawajafanya lolote na Mechi ya jana pia.

Tukubari tukatae tuwape mda maana unaweza sajir mchezaji mapema tu akaingia kwenye mfumo na mwingine akachelewa lkn akiingia utampenda kama ilivokuwa kwa chama na Miquson kwa sasa tusiwafananishe na hao kina chama tunawabebesha mizigo mikubwa wanakosa confidence kbs.
 
Flop mildifieder, hivi akuona namna Yanick Bangala anavyopandisha mashambulizi
 
Hamjambo.

Leo nimepata wasaa wa kutazama mechi mbili za Simba SC ambazo Sadio Kanoute alipata kucheza. Mechi dhidi ya TP Mazembe & Dar es Salaam Young Africans SC.

Wachambuzi wengi wa Kitanzania wametanabaisha kuwa Sadio Kanoute ni Box-2-Box midfield. Hilo nimelikataa kabisa.

Baada ya mchezaji huyo kuonekana kuwa hajaweza kuvaa vyema viatu vya Tripple C ndipo kundi dogo la watu likaamua kumpachika aina hiyo ya mchezaji. Kabla sijaendelea mbele nitoe maana zaidi ya nini maana ya Box-to-Box midfielder.

Box-to-Box midfielder: Ni kiungo wa kati ambaye mwenye kumiliki ufanisi wa hali ya juu katika box lake la ulinzi pale timu yake inapo shambuliwa na wakato huo huo ana uwezo wa kutimiza jukumu la usaidizi wa ushambuliaji katika box la mpinzani pia katika ufanisi wa hali ya juu.

Kiashiria kikuu cha kuamua kama kiungo ni Box-to-Box midfielder ni:
1. idadi ya tackles, take-ons na interceptions ambazo anazozifanya katika box lake la ulinzi.
2. Idadi ya Magoli, shots on target na assists ambazo anazozifanya katika box la mpinzani pale timu yake inaposhambulia.

Mfano halisi wa Box-to-Box midfielders ni kama vile Bastian Schweinsteiger, Yaya Touré, Patrick Vieira, Frank Lampard na Stven Gerrard.

Jambo la msingi unalopaswa kulifahamu kutoka hapo juu ni kwamba B2B Midfielder anapaswa kuwa na uwiano sawa wa kile amnachokifanya katika mabox yote mawili.

Tukirudi kwa Sadio Kanoute.
Katika mechi ya hivi karibuni dhidi ya Dar es salaam Young Africans SC hakuwa na takwimu zinazo akisi jukumu la B2B Midfielder. Kwa mfano;
Alikuwa na 0 shot on target kati ya mashuti 3.
Alifanya successful tackles 2 tu.
Na Interception 1
Mashuti 2 tu kati ya mashuti 12

Katika mechi dhidi ya TP Mazembe hakuwa na takwimu zinazo akisi jukumu la B2B Midfielder. Kwa mfano;
Alikuwa na 0 shot on target kati ya mashuti 4.
Alifanya successful tackles 1 tu.
Na Interception 1
Mashuti 0 tu kati ya mashuti 3

Hizi takwimu zinabainisha kutokuwapo kwa uwiano katika maeneo makuu mawili ambayo anapaswa kuwajibika katika uwiano ulio sawia.

Sadio Kanoute ni mchezaji bora kati ya wachezaji wote wa simba waliosajiliwa na waliopo kikosini hivi sasa, lakini tutakuwa tumeukosea heshima mpira wa miguu kama tukimuita B2B Midfielder.
Mbona hujatoa credit kwa yule uliyemkopia kule twitter
 
Chama na Kanoute niwachezaji wawili tofauti.
Chama alikuwa anacheza nambari 10.
Kanoute anacheza namba 8 au 6
So usiweka kama siyo mjinga.
 
Tatizo mashabiki wa hizi timu wanakuwa na expectations kubwa sana na hizi timu zao tofauti na uwezo halisi wa timu, matokeo yakiwa tofauti wanaanza kutoa lawama za ajabu ajabu kwa wachezaji, simba ya msimu huu ni kama mpya, wachezaji wapewe muda, Ronaldo mwenyewe wakati anajoin man u alistruggle kidogo mpaka kuwa kwenye form
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom