Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Kama walitaka kukutana na timu mbovu wangekomaa wavuke raundi ya awali, Sasa raundi ya mwanzo imekushinda, Unabeza mafanikio ya mwenzio, hii ni ajabu, roho mbaya isiyo na maana, halafu binafsi...
7 Reactions
4 Replies
669 Views
Kwa nini uangalie mechi ya kishamba kama ya Jwaneng? Mtananange ndio huu sasa.
1 Reactions
3 Replies
1K Views
SALAAM WAKUU. Kila nikitazama orodha ya wachezaji wanaowania tuzo mbalimbali msimu huu napigwa na butwaa. Naona hawa TFF wamewaweka baadhi ya wachezaji ili kusawazisha ule Usimba na uyanga ila...
12 Reactions
62 Replies
4K Views
Kwanini wachambuzi wa Tanzania mnakua hivi lakini, Nimetoka kumsikia Jeoff Leah wa E FM anasema eti Simba Sc haitaweza kufanya vizuri kimataifa kwa sababu imepoteza wachezaji wake bora na hawa...
9 Reactions
50 Replies
5K Views
TFF imetoa rasmi taarifa iliyotoka shikirisho la mpira Africa (CAF). Mechi ya Biashara wataruhusiwa mashabiki 5,000. Mechi ya Azam mashabiki 2,000. Na Mechi ya Simba mashabiki 15,000.
5 Reactions
24 Replies
3K Views
Jana kwenye mechi ya Biashara united na Al ahal ya libya ( speling) kwenye mashindano ya kombe la shirikisho barani afrika, tuliona mchezaji mmoja wa Al ahal akitapika maji uwanjani. Sababu...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Timu ya Simba pokeeni ushauri huu. Kwa kuwa mna kikosi kipana na kizuri, tumieni kikosi cha pili kucheza na Yanga. Kwa nini? 1. Katika kipindi hichi ambacho mmepata mafanikio timu ya Yanga...
3 Reactions
19 Replies
3K Views
Msemaji wa Dar es Salaam Young Africans HAJI SUNDAY MANARA amekaririwa na vyombo vya habari akisema ya kuwa anaenda MAHAKAMANI kuishtaki Simba kwa kosa la kumfanyisha kazi kwa miaka mingi bila...
5 Reactions
41 Replies
4K Views
Aishi Manula Kapombe Zimbwe jr Wawa Kenedy Lwanga Mzamiru Bwalya Morrson Ajibu Bocco Mfumo 4-2-3-1 Second option Aishi Manula Kapombe Wawa Onyango Zimbwe Inonga Lwanga Kanute Morrson Bwalya Bocco...
5 Reactions
41 Replies
4K Views
kuna kitu sijajua hadi leo simba kinanishangaza, sijui ni uzungu mwingi au vipi? kwanza ni kwanini mazoezi ya simba kila siku ni ya wazi? si muende hata Gymkhana palipojificha? Huyu CEO kule...
5 Reactions
29 Replies
4K Views
Ikumbukwe hadi sasa TFF (Tanzania) tuna points 27.5 huko Caf zililizowezesha nchi kuingiza teams 4 yaani simba ana 24, namungo 2.5, utopwenga 1 Simba ni ya 15 kwa sasa ,namungo ni ya 60 hivyo...
5 Reactions
15 Replies
3K Views
Ni mizunguko ya mechi mbili tu ambazo zimepita tangu ligi kuu Tanzania bara ya msimu wa 2021/22 ianze. Tayari TFF (Wallace Karia) imekwishaanza kuweka mazingira ya kuzalisha viporo kwenye ligi...
4 Reactions
61 Replies
6K Views
Kama mdau wa michezo na mshabiki wa mpira wa miguu na Mwenyeji wa Mkoa wa Mara nachukua nafasi hii ya kuwaunganisha mashibiki wote wa Biashara united ( Mara) ambayo ni timu yetu pekee...
16 Reactions
424 Replies
37K Views
"Yanga SC haihusiki kabisa na Kupima COVID-19 Wachezaji wa Timu ngeni na waulizwe Serikali ya Tanzania. Na kuhusu hao Mashabiki kuingia waulizwe TFF na Watu wa Wizara na siyo Sisi Yanga SC" Haji...
13 Reactions
62 Replies
7K Views
Leo droo imetoka kwa upande wa michuano ya klabu bingwa Africa na Kombe la shirikisho CAF. Binafsi naona uwezekano wa timu za Tanzania kufika mbali zaidi kwa kuweza kutinga hatua za makundi...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Kutokana na kutokuwepo kwa mashindano yoyote ambayo ingetumika kujiweka sawa na kuchagua mfumo na mbinu mbali mbali kutokana na wachezaji wapya waliosajiliwa ni vyema kwa timu za Biashara, Simba...
8 Reactions
11 Replies
2K Views
Kamisheni inayosimamia ngumi za kulipwa Tanzania TPBRC, kupitia makamu wake imewapa adhabu za faini bondia Cosmas Cheka na mwenzie Isa Nampepeche. Cosmas Cheka amepigwa faini ya Tshs laki nne...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
TFF wameandaa tuzo na ambao wanagombea tuzo ya mhamasishaji bora wapo watatu. 1. Masau Bwire 2 .Haji Manara 3. Bongozozo Mnaona nani anastahili hapo?
1 Reactions
50 Replies
3K Views
Baada ya kuangukia pua mapema wavulana wa soka wa utopolo msione vibaya kuwashangilia na kuwapigia makofi wanaume wa soka la Tanzania kuanzia Biashara leo, Azam kesho na kisha baba lao wekundu wa...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
Nimezima na redio kabisa kuna jamaa anasema manara ndiye aliyeifanya simba kuwa kubwa na kwa sasa hamna kitu sababu mashabiki wengi wamemfata utopoloni. Hivi ile sheria ya kuwa na chetti kwa hawa...
5 Reactions
18 Replies
2K Views
Back
Top Bottom