Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Kuna kipa atamaliza mzunguko wa kwanza bila kuruhusu goli, pia kuna timu haitapoteza mchezo wowote ndani ya mzunguko huo Na ndio hiyo itakayobeba kombe Msiniulize ni timu gani.
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Kwamba Mwijaku Ndio anaongea na Wachezaji anakuja Kuwaeleza Mashabiki Wa Makolo Fc? Ila Mwijaku alitafuta sana Huu Uhamasishaji wa Team, alikuwa anajipendekeza Sana kwa Baba. Sent using Jamii...
7 Reactions
49 Replies
6K Views
Yanga hii inaonyesha Sana mwanga katika kupambania ubingwa msimu huu, soka linachezwa kotekote iwe kwenye viwanja vibovu ama kwenye uwanja mzuri mbungi inapigwa tu, aina ya wachezaji waliosajiliwa...
16 Reactions
48 Replies
3K Views
Wakuu ni matumaini yangu wote mmeona mpambano wa tatu/trilogy kati ya wilder vs fury. Niwaambie tu kitu ambacho nimegundua kwa mtazamo wangu. African boxers bado ni the best dunia nzima ndo...
6 Reactions
53 Replies
5K Views
UCL FULL TIME SCORES ⬇️ AJAX 4 DORTMUND 0 INTER 3 SHERIFF 1 SHAKHTAR 0 REAL MADRID 5 PORTO 1 AC MILAN 0 PSG 3 LEIPZIG 2 ATM 2 LIVERPOOL 3 Liverpool have won a #UCL game against Atletico Madrid...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Wakati Yanga wamepigwa faini kwa kukaidi agizo la CAF kuingiza mashabiki uwanjani mechi yao ya CAFCL,kwa Simba sports club hali ni tofauti. Simba wameruhusiwa kuingiza mashabiki mechi ya...
15 Reactions
13 Replies
2K Views
Wamiliki wapya wa timu ya Newcastle United wameamua kupata changamoto mpya ya kocha ili kwenda na kasi yao mpya . Mkataba wa Kocha Steve Bruce umesitishwa rasmi leo Sent from my SM-J500H using...
2 Reactions
10 Replies
971 Views
Naona kuna kawimbo kanaendelea kakusema yanga inakata upepo kipindi cha pili, mimi sikubaliani na icho kitu kwakuwa sijaona timu inayokata upepo ikiwa ikiwa inaruusu nafasi za wazi kwa wapinzani...
9 Reactions
7 Replies
1K Views
Taarifa kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) azamtvtz @tplboard @twigastars https://t.co/54Bwldai8X
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nawauliza mashabiki wa mpira hapa kwetu Tanzania maana naona mashabiki na waandishi wengi kama wananung"unika baada ya simba kuifyatua galaxy kwa magoli 2-0. Je, wangependa kusikia al ahly...
21 Reactions
65 Replies
5K Views
Mechi ipo onfire sijawahi ona. naona nado ameumia
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Tukampigie kula twitter uko kwenye pae ya totalenergiesCAFCL
2 Reactions
14 Replies
1K Views
--------- Matokeo --------- KMC 0-2 Yanga Magoli ya haraka haraka yaliyofungwa na Mayele katika dakika ya 4 na Fei Toto katika dakika ya 11 yametosha kuipa ushindi Yanga na kuipandisha kileleni...
2 Reactions
109 Replies
11K Views
Ikumbukwe waliojaza uwanja wengi ni yanga na wale wa simba waliojaa kushangilia kmc hata simba ikienda mikoani hali huwa hivyo watajaa wa simba na wa yanga kushangilia team pinzani Sasa bodi ya...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Kelele nyingi zimekuwa zikisambaa kwa ile hoja dhaifu eti Messi hawezi cheza pahala pengine zaidi ya timu yake toka utotoni FC Barcelona. Taarifa latest zinasema mchawi huyu wa soka yupo mbioni...
10 Reactions
43 Replies
4K Views
Wagombea ni....... 1. Steven Mguto ( Coastal Union ) 2. Dkt. Mshindo Msolla ( Yanga SC ) 3. Murtaza Mangungu ( Simba SC ) TAKUKURU upesi sana anzeni kutupa Jicho lenu huko ( hapo ) kwani...
7 Reactions
27 Replies
3K Views
kwa hatua hii bila shaka itauwa vipaji vya soka la vijana wetu kwani ni wazi sasa vilabu havitakuwa tena na mda wa kupoteza wa kulea vijana ili hali kuna soko tayari nje nje la vijana kutoka nje...
3 Reactions
27 Replies
3K Views
Kipa Saveli Kononov wa timu ya Izhstal Izhevsk, mwenye umri wa miaka (23), nchini Urusi, amepewa zawadi ya silaha aina ya AK-47 baada ya kuibuka mchezaji bora wa mechi, walipocheza dhidi ya...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Unaonaje anastahili au la? Binafsi naona anastahili lakini hatapewa.
15 Reactions
55 Replies
6K Views
Hamjatutangaza vibaya Watanzania na Tanzania ya sasa ya Rais Samia kama 'Wendawazimu' wengine ambao Furaha yao na Ubingwa pekee walionao ni Kukusanya Waganga wa Kienyeji nchi nzima, Kukata Kiganja...
11 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom