Simba SC haitafanya vizuri Kimataifa

Mr Never Mind

JF-Expert Member
Mar 1, 2019
287
335
Kwanini wachambuzi wa Tanzania mnakua hivi lakini, Nimetoka kumsikia Jeoff Leah wa E FM anasema eti Simba Sc haitaweza kufanya vizuri kimataifa kwa sababu imepoteza wachezaji wake bora na hawa waliosajiliwa wataanza kuonesha ubora pale tu Simba Sc itapokua imeshatolewa kimataifa , kwa kweli iliniuma sana kuona watu wanalipwa mishahara kuongea ujinga

Last week nilimsikiliza huyu huyu Geaf Leah wakati akiizungumzia Taifa Stars kuhusu kufuzu world cup, alisema ni ngumu kwa Tanzania kufuzu kombe la dunia kitu ambacho ni ukweli lakini akasema ni ngumu kwa Tanzania kuongoza hata Kundi J na ikitokea kaongoza basi Oscar Oscar na Maulid Kitenge wachukue mshahara wake wa mwezi mmoja nikawaza kweli kuna mchambuzi anaeona kuna ugumu huo kwa Tanzania kufuzu kundi ambalo Yupo Benin,Madagascar na DRC mpaka aweke mshahara wake rehani

Simba hii inawezaje kuwa mbovu kwa kuondokewa na wachezaji wawili tu yaani chama na luic, na labda nimwambie warithi wa Luis pale simba ni wengi mtu kama Morrison na Banda ni mawinga wazuri mno , mtu kama chama ana alikua na umuhimu sana kwa simba lakini sio kufikia team kua mbovu baada ya yeye kuondoka na Simba inaweza kua nzuri pengine kuliko ya mwaka Jana

Labda nimkumbushe kuwa Simba iliwahi kufika robo fainali ikiwa na Rashid Juma,Mlipili,kotei na wachezaji wengi wa kawaida kuliko waliopo sasa na hata walimfunga Al Ahly na As Vita pamoja na team bora toka Algeria kwa kipind hicho yaam Js Saoura kwanini hii isifanye vizuri

Na labda nimwambie kama alikua hajui team nyingi hazina viwango vya kutisha hivyo ndo maana Azam,Biashara na Namungo wanafanya vizuri labda nimkumbushe kua wale namungo walifanya vizuri sana msimu uliopita hata kundi lake ni vile lilikua gumu mno mfano pyramids na Raja Athletic ambae alikua bingwa kabisa lakini hawakupata matokeo ya ajabu hivyo mpaka tuseme namungo walikua wabovu ,Simba inaenda kutana na team za Africa tena akiwa Giant sio team za ulaya sio za ulaya kama Bayern au madrid

NB: RASMI NIMEKUSHUSHA VYEO JEOFF LEAH
 
.
Screenshot_2021-10-15-12-38-06.jpeg
 
Simba jumapaili anakula 4-0
Kwa Benja anakula 2-0

Anarudi ligi kuu anakutana na maafande wanampiga 1-0

Kisha wagosi wa kaya wanambana ana draw, hapo haabari ya kwisha anasubiri next season ajipange upya.
 
Kwanini wachambuzi wa Tanzania mnakua hivi lakini, Nimetoka kumsikia Jeoff Leah wa E FM anasema eti Simba Sc haitaweza kufanya vizuri kimataifa kwa sababu imepoteza wachezaji wake bora na hawa waliosajiliwa wataanza kuonesha ubora pale tu Simba Sc itapokua imeshatolewa kimataifa , kwa kweli iliniuma sana kuona watu wanalipwa mishahara kuongea ujinga

Last week nilimsikiliza huyu huyu Geaf Leah wakati akiizungumzia Taifa Stars kuhusu kufuzu world cup, alisema ni ngumu kwa Tanzania kufuzu kombe la dunia kitu ambacho ni ukweli lakini akasema ni ngumu kwa Tanzania kuongoza hata Kundi J na ikitokea kaongoza basi Oscar Oscar na Maulid Kitenge wachukue mshahara wake wa mwezi mmoja nikawaza kweli kuna mchambuzi anaeona kuna ugumu huo kwa Tanzania kufuzu kundi ambalo Yupo Benin,Madagascar na DRC mpaka aweke mshahara wake rehani

Simba hii inawezaje kuwa mbovu kwa kuondokewa na wachezaji wawili tu yaani chama na luic, na labda nimwambie warithi wa Luis pale simba ni wengi mtu kama Morrison na Banda ni mawinga wazuri mno , mtu kama chama ana alikua na umuhimu sana kwa simba lakini sio kufikia team kua mbovu baada ya yeye kuondoka na Simba inaweza kua nzuri pengine kuliko ya mwaka Jana

Labda nimkumbushe kuwa Simba iliwahi kufika robo fainali ikiwa na Rashid Juma,Mlipili,kotei na wachezaji wengi wa kawaida kuliko waliopo sasa na hata walimfunga Al Ahly na As Vita pamoja na team bora toka Algeria kwa kipind hicho yaam Js Saoura kwanini hii isifanye vizuri

Na labda nimwambie kama alikua hajui team nyingi hazina viwango vya kutisha hivyo ndo maana Azam,Biashara na Namungo wanafanya vizuri labda nimkumbushe kua wale namungo walifanya vizuri sana msimu uliopita hata kundi lake ni vile lilikua gumu mno mfano pyramids na Raja Athletic ambae alikua bingwa kabisa lakini hawakupata matokeo ya ajabu hivyo mpaka tuseme namungo walikua wabovu ,Simba inaenda kutana na team za Africa tena akiwa Giant sio team za ulaya sio za ulaya kama Bayern au madrid

NB: RASMI NIMEKUSHUSHA VYEO JEOFF LEAH
Kama akili yako inafikiri uwezo wa Banda na Morrison Kwasasa unaweza kuwa sawa na Chama basi una safari ndefu ya kukubaliana na ukweli halisi.
Kituambacho hufahamu Morrison ni mchezaji mzuri na peke yake anaweza kushambulia Ila hawezi kuifanya Simba icheze.
Chama alikua anachezesha timu nzima kule mbele, ni mchezaji juhudizako za kukaa kwenye nafasi akupe pasi ufunge.

Banda anao uwezo wa kushambulia Kama kiungo wa pembeni Ila Hana uwezo wa kuchezesha wengine.
 
Kaka soma vizuri bas nimesema uwezo wa banda na Morrison upo sawa na chama mi hao wawili nimewafananisha na Luis since wote ni mawinga na kuhusu chama haina maana kwamba kuondoka kwake basi simba imekua mbovu mpaka kutofaa kwa matumizi

Kiukweli kama kocha hajapata tiba ya hapo no10 basi tusitarajie chochote
 
Kibu Denis ni 10 mzuri tena sana na anaweza ku offer vingi japo sio kama chama tusubiri tuone
Sifa ya namba kumi unatakiwa ujue kutengeneza nafasi na kufunga..
Ndio maana kwa mechi za karibuni unaona kabisa team inakimbia tu bila mipango na hata mimi kwa hali nloiona inatia mashaka sana
Bwalya hawezi kubeba hilo jukumu hata kwa 70% na bahati mbaya ndio aliaminiwa atabeba hilo jukumu

So ngoja tuone benchi la ufundi litakachofanya kukabiliana na hiyo hali
 
Freedom of Expression
Mbona mnapata Shida sana mtu akitumia uhuru wake kuongea na kujieleza

Hayo ni mawazo yake ambayo ni tofauti na wewe, kwahyo huna sababu ya kumpinga

Watanzania tumetengeneza cycle ya kumuona mtu hafai, mjinga, jeuri, kilaza endapo ataongea, kufanya, tofauti na wish zako
 
Kwanini wachambuzi wa Tanzania mnakua hivi lakini, Nimetoka kumsikia Jeoff Leah wa E FM anasema eti Simba Sc haitaweza kufanya vizuri kimataifa kwa sababu imepoteza wachezaji wake bora na hawa waliosajiliwa wataanza kuonesha ubora pale tu Simba Sc itapokua imeshatolewa kimataifa , kwa kweli iliniuma sana kuona watu wanalipwa mishahara kuongea ujinga

Last week nilimsikiliza huyu huyu Geaf Leah wakati akiizungumzia Taifa Stars kuhusu kufuzu world cup, alisema ni ngumu kwa Tanzania kufuzu kombe la dunia kitu ambacho ni ukweli lakini akasema ni ngumu kwa Tanzania kuongoza hata Kundi J na ikitokea kaongoza basi Oscar Oscar na Maulid Kitenge wachukue mshahara wake wa mwezi mmoja nikawaza kweli kuna mchambuzi anaeona kuna ugumu huo kwa Tanzania kufuzu kundi ambalo Yupo Benin,Madagascar na DRC mpaka aweke mshahara wake rehani

Simba hii inawezaje kuwa mbovu kwa kuondokewa na wachezaji wawili tu yaani chama na luic, na labda nimwambie warithi wa Luis pale simba ni wengi mtu kama Morrison na Banda ni mawinga wazuri mno , mtu kama chama ana alikua na umuhimu sana kwa simba lakini sio kufikia team kua mbovu baada ya yeye kuondoka na Simba inaweza kua nzuri pengine kuliko ya mwaka Jana

Labda nimkumbushe kuwa Simba iliwahi kufika robo fainali ikiwa na Rashid Juma,Mlipili,kotei na wachezaji wengi wa kawaida kuliko waliopo sasa na hata walimfunga Al Ahly na As Vita pamoja na team bora toka Algeria kwa kipind hicho yaam Js Saoura kwanini hii isifanye vizuri

Na labda nimwambie kama alikua hajui team nyingi hazina viwango vya kutisha hivyo ndo maana Azam,Biashara na Namungo wanafanya vizuri labda nimkumbushe kua wale namungo walifanya vizuri sana msimu uliopita hata kundi lake ni vile lilikua gumu mno mfano pyramids na Raja Athletic ambae alikua bingwa kabisa lakini hawakupata matokeo ya ajabu hivyo mpaka tuseme namungo walikua wabovu ,Simba inaenda kutana na team za Africa tena akiwa Giant sio team za ulaya sio za ulaya kama Bayern au madrid

NB: RASMI NIMEKUSHUSHA VYEO JEOFF LEAH
Tz hakuna wachambuzi.bali.kuna watu wababaishaji kwenye uchambuzi. Kiulize alicheza mpira timu ipi..? Na muda gani.?
 
Back
Top Bottom