Inasemekana timu iliyokuwa inamuhitaji ilikatisha ghafla mazungumzo na mipango ya kumchukuwa BAAADA YA KUONA KIJANA WETU AMEKOSA GOLI LA WAZI KWENYE MECHI YA TAIFA STAR Vs MOROCCO .
Pot 1 teams
Real Madrid
Home: Manchester City, Juventus, Marseille, Monaco
Away: Liverpool, Benfica, Olympiacos, Kairat Almaty
Manchester City
Home: Borussia Dortmund, Bayer Leverkusen, Napoli...
CHAN: Leo katika dimba la Mandela itapigwa mechi ya mshindi wa tatu kati ya Sudan dhidi ya Senegal Mechi hii itachezwa kuanzia saa 12:00 jioni
Jumamosi
Fainali ya Mashindano ya Mataifa ya...
José Mourinho ameondoka katika nafasi yake ya ukocha wa klabu ya Fenerbahçe ya Uturuki, baada ya klabu hiyo kushindwa kufuzu kwa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.
Jumano, Agosti 27...
Bodi ya ligi wamepitisha kanuni za kuendesha ligi msimu huu
Moja ya kanuni za ovyo ni kumpata bingwa Kwa kuangalia H2H badala ya goals different, au kuzingatia ushindi wa michezo ya ugenini...
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, Camilius Wambura amesema kuwa kipaumbele chao ni kuhakikisha waandishi wa habari wanakuwa salama katika kipindi cha uchaguzi, ambapo ameeleza kwamba wanahabari...
Nimeona timu ya Madagascar ilivyo cheza na Taifa Star na Harambee Stars , kwamba wapo vizuri kimpira kuliko Timu yetu na ya Watani zetu (ingawa Timu ya Watani wa Jadi wapo Bora kuliko yetu kwamba...
Kiungo Kobbie Mainoo (20) ameijulisha Klabu yake ya Manchester United kuwa anataka kuondoka kwa mkopo kabla ya Dirisha la Usajili halijafungwa Septemba 1, 2025. Amecheza mechi 16 kati ya 45 ambazo...
Manchester United imeondoshwa kwenye Kombe la Carabao jana baada ya kushindwa kwa penati 12–11 dhidi ya timu ya daraja la nne, Grimsby Town, katika mchezo uliomalizika kwa sare ya 2–2. United...
Mashabiki wengi wa Yanga hata hawa ambao siku za hivi karibuni wamekengeuka na kupinga kitendo cha klabu yao kujiingiza katika shughuli za siasa, wanaamini kabisa kwamba klabu yao ina historia...
Nadhani ifike wakati tuletewe matajiri wa maana. Kuna mtu kazira huko kisa jezi kuvuja.
Tukisema kuwa amevujisha yeye ili kupata kisingizio cha kukwepa ahadi zake tutakuwa tunakosea...
Afisa Habari wa Klabu ya Yanga, Ally Kamwe akamatwa usiku wa manane huko Tabora.
Chanzo cha Kukamatwa kwake ni kutoa Lugha chafu kwa viongozi wa Mkoa.
Ameshikiliwa kwa Mahojiano Maalum.
RPC...
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Zaaaaa ndaniii kabisa ni kwamba makolo wamepima kina cha maji wameona watazama tena, hivyo wametafuta kila aina ya sababu ya kukimbia ngao...
Nimekuwa nikifuatilia sana maendeleo ya Azam FC, leo nimeshuhudia wakiwafunga APR mbele ya washabiki wao, mpira mwingi sana umepigwa, vijana wanacheza soka nzuri sana yaan kiufupi Azam...
Kupitia Wasafi FM, aliyekuwa mchezaji na kocha wa zamani wa Yanga, Boniface Mkwasa 'Master' ametoa maoni yake juu ya sakata la mcheza Clement Mzize. Mkwasa amesema Yanga kuendelea kumshikilia...
Inasemekana kuwa Mwalimu amefeli kule Wydad.
Selemani Mwalimu anarudi kucheza Simba kutoka Wydad kwa visingizio vyepesi kabisa kama walivyorudi wengine kutoka Afrika ya waarabu. Waarabu hawawezi...