Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,586
- 9,814
Nadhani ifike wakati tuletewe matajiri wa maana. Kuna mtu kazira huko kisa jezi kuvuja.
Tukisema kuwa amevujisha yeye ili kupata kisingizio cha kukwepa ahadi zake tutakuwa tunakosea?
Msimbembeleze wala kuahirisha tarehe kwa mara nyingine.