Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Nimeona timu ya Madagascar ilivyo cheza na Taifa Star na Harambee Stars , kwamba wapo vizuri kimpira kuliko Timu yetu na ya Watani zetu (ingawa Timu ya Watani wa Jadi wapo Bora kuliko yetu kwamba...
1 Reactions
7 Replies
658 Views
Kiungo Kobbie Mainoo (20) ameijulisha Klabu yake ya Manchester United kuwa anataka kuondoka kwa mkopo kabla ya Dirisha la Usajili halijafungwa Septemba 1, 2025. Amecheza mechi 16 kati ya 45 ambazo...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Manchester United imeondoshwa kwenye Kombe la Carabao jana baada ya kushindwa kwa penati 12–11 dhidi ya timu ya daraja la nne, Grimsby Town, katika mchezo uliomalizika kwa sare ya 2–2. United...
2 Reactions
14 Replies
892 Views
Mashabiki wengi wa Yanga hata hawa ambao siku za hivi karibuni wamekengeuka na kupinga kitendo cha klabu yao kujiingiza katika shughuli za siasa, wanaamini kabisa kwamba klabu yao ina historia...
2 Reactions
8 Replies
927 Views
Wakuu lile chimbo letu la kucheki mechi mbalimbali fawanews kila nikiingia hola, dah uhondo wetu wametuondolea nini?
2 Reactions
18 Replies
5K Views
Nadhani ifike wakati tuletewe matajiri wa maana. Kuna mtu kazira huko kisa jezi kuvuja. Tukisema kuwa amevujisha yeye ili kupata kisingizio cha kukwepa ahadi zake tutakuwa tunakosea...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Afisa Habari wa Klabu ya Yanga, Ally Kamwe akamatwa usiku wa manane huko Tabora. Chanzo cha Kukamatwa kwake ni kutoa Lugha chafu kwa viongozi wa Mkoa. Ameshikiliwa kwa Mahojiano Maalum. RPC...
12 Reactions
104 Replies
8K Views
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Zaaaaa ndaniii kabisa ni kwamba makolo wamepima kina cha maji wameona watazama tena, hivyo wametafuta kila aina ya sababu ya kukimbia ngao...
16 Reactions
112 Replies
5K Views
Nimekuwa nikifuatilia sana maendeleo ya Azam FC, leo nimeshuhudia wakiwafunga APR mbele ya washabiki wao, mpira mwingi sana umepigwa, vijana wanacheza soka nzuri sana yaan kiufupi Azam...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Kupitia Wasafi FM, aliyekuwa mchezaji na kocha wa zamani wa Yanga, Boniface Mkwasa 'Master' ametoa maoni yake juu ya sakata la mcheza Clement Mzize. Mkwasa amesema Yanga kuendelea kumshikilia...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Inasemekana kuwa Mwalimu amefeli kule Wydad. Selemani Mwalimu anarudi kucheza Simba kutoka Wydad kwa visingizio vyepesi kabisa kama walivyorudi wengine kutoka Afrika ya waarabu. Waarabu hawawezi...
5 Reactions
26 Replies
1K Views
PICHA INAJIELEZA...WAZEE WA MAGOLI MSIJISAHAU ANDUNJE AINAKUJA
0 Reactions
4 Replies
423 Views
Wewe unaeiponda Tanzania kwa kutolewa CHAN jana na unashangilia halafu una comment kwa matusi
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Mbona jamaa ni wa kawaida sana huyu. Mzize ikitokea akapata timu nje ninadhani ndani ya miezi 6 watamrejesha Tz kwa mkopo
6 Reactions
18 Replies
1K Views
Mashabiki walishangaa ikiwa ni baada ya YF Juventus, klabu ya mjini Zurich inayocheza katika Swiss 1. Liga Classic, kuingia uwanjani wakiwa wamevaa jezi zinazofanana kabisa na zile za FC Barcelona...
1 Reactions
4 Replies
670 Views
"Yule mtu wetu Tuliyempandikiza kwenye Timu yao kanihakikishia hapa, Usiku huu wamefukuzwa watu watatu kwenye hii ishu ya Jezi kuvuja.. Lakini Yeye yuko salama Kabisa hawajamshtukia Tumuombee...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
𝐇𝐎𝐌𝐄 𝐊𝐈𝐓 𝟐𝟎𝟐𝟓/𝟐𝟔. 🔰 𝐀𝐖𝐀𝐘 𝐊𝐈𝐓 𝟐𝟎𝟐𝟓/𝟐𝟔 🔰 𝐓𝐇𝐈𝐑𝐃 𝐊𝐈𝐓 𝟐𝟎𝟐𝟓/𝟐𝟔 🔰 𝐌𝐓𝐎𝐊𝐎 𝐖𝐀 𝐊𝐈𝐌𝐀𝐓𝐀𝐈𝐅𝐀 𝐔𝐌𝐄𝐅𝐈𝐊𝐀 🤩Sogea hapa Makao Makuu ya klabu yetu Jangwani upate mtoko wako Mwananchi🔰.#timuyawananchi...
3 Reactions
40 Replies
3K Views
Kijana umepambana sana,huna misingi ya soka lakini umepambana sana kama osama wa morocco ambae amelelewa kisoka.Lile goli ulilokosa sio tija maana ni alama ya wazi kuwa hukupata malezi ya...
6 Reactions
27 Replies
1K Views
Simba walikuwa na muda wa kuwaaga Bocco na Mkude kama wangetaka kuwaaga wakati ule walipopanga kuwaacha kwakuwa kumuacha mchezaji sio dharura wala ajali. Zawadi inakuwa na maana na faida kama...
5 Reactions
41 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…