Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

"Niwe tu muwazi bado Nahitaji Mchezaji mmoja mwenye X Factor kwenye eneo la ushambuluaji, najua tumepata sapoti kubwa Sana kutoka kwa Rais Mo Dewji na mchango wake Msimu huu umekuwa mkubwa Sana"...
5 Reactions
15 Replies
2K Views
Login • Instagram "Mzize ameniambia kuwa wamemuomba abaki sababu wanamuhitaji Msimu Ujao wanashiriki ligi ya mabingwa, nikamwambia kwahiyo imekuwaje akaniambia wamesema watamboreshea maslai...
11 Reactions
75 Replies
4K Views
Nimeinununua moja ya kijani, kitambaa ni bomba sana lakini imeshaniudhi shingoni. Material waliyoweka kuzunguuka shingo sio laini (soft) kiasi cha kutia karaha kwenye ngozi na mishipa ya singo...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Katika uzi huu nitataja kampuni mbalimbali zilizokimbia soko la tanzania huku sababu kuu zikiwa, soko kutokuwa na faida , kufeli kwenye operation (wafanyakazi wasio na weledi) kujikita kwenye...
4 Reactions
47 Replies
5K Views
"Nimecheza na Yanga mara mbili nadhani sasa mechi ijayo ni muda wa kuwafunga kwa sababu hamna tena kisingizio, najua mechi itakuwa ngumu lakini tutajitahidi kadri ya uwezo wetu tushinde"...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Kwa kitendo cha Clement Mzize kukubali aliekua msimamizi wake kukejeliwa na klabu pamoja na viongozi waliopo kwenye idara ya habari ya klabu ni kumkosea heshma na nimeshangazwa sana kuona Mzize...
5 Reactions
65 Replies
4K Views
Ligi ya Mabingwa Ulaya ya msimu wa 2025–26 imekuwa ikiendelea kimyakimya tangu mwanzo wa Julai, wakati raundi ya kwanza ya mechi za mchujo ilipoanza. Jumla ya timu 53 zimehusika katika mchakato...
3 Reactions
1 Replies
676 Views
Inasemekana timu iliyokuwa inamuhitaji ilikatisha ghafla mazungumzo na mipango ya kumchukuwa BAAADA YA KUONA KIJANA WETU AMEKOSA GOLI LA WAZI KWENYE MECHI YA TAIFA STAR Vs MOROCCO .
-1 Reactions
28 Replies
2K Views
Pot 1 teams Real Madrid Home: Manchester City, Juventus, Marseille, Monaco Away: Liverpool, Benfica, Olympiacos, Kairat Almaty Manchester City Home: Borussia Dortmund, Bayer Leverkusen, Napoli...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
CHAN: Leo katika dimba la Mandela itapigwa mechi ya mshindi wa tatu kati ya Sudan dhidi ya Senegal Mechi hii itachezwa kuanzia saa 12:00 jioni Jumamosi Fainali ya Mashindano ya Mataifa ya...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
José Mourinho ameondoka katika nafasi yake ya ukocha wa klabu ya Fenerbahçe ya Uturuki, baada ya klabu hiyo kushindwa kufuzu kwa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya. Jumano, Agosti 27...
0 Reactions
5 Replies
766 Views
Bodi ya ligi wamepitisha kanuni za kuendesha ligi msimu huu Moja ya kanuni za ovyo ni kumpata bingwa Kwa kuangalia H2H badala ya goals different, au kuzingatia ushindi wa michezo ya ugenini...
1 Reactions
3 Replies
384 Views
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, Camilius Wambura amesema kuwa kipaumbele chao ni kuhakikisha waandishi wa habari wanakuwa salama katika kipindi cha uchaguzi, ambapo ameeleza kwamba wanahabari...
0 Reactions
1 Replies
560 Views
Nimeona timu ya Madagascar ilivyo cheza na Taifa Star na Harambee Stars , kwamba wapo vizuri kimpira kuliko Timu yetu na ya Watani zetu (ingawa Timu ya Watani wa Jadi wapo Bora kuliko yetu kwamba...
1 Reactions
7 Replies
658 Views
Kiungo Kobbie Mainoo (20) ameijulisha Klabu yake ya Manchester United kuwa anataka kuondoka kwa mkopo kabla ya Dirisha la Usajili halijafungwa Septemba 1, 2025. Amecheza mechi 16 kati ya 45 ambazo...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Manchester United imeondoshwa kwenye Kombe la Carabao jana baada ya kushindwa kwa penati 12–11 dhidi ya timu ya daraja la nne, Grimsby Town, katika mchezo uliomalizika kwa sare ya 2–2. United...
2 Reactions
14 Replies
892 Views
Mashabiki wengi wa Yanga hata hawa ambao siku za hivi karibuni wamekengeuka na kupinga kitendo cha klabu yao kujiingiza katika shughuli za siasa, wanaamini kabisa kwamba klabu yao ina historia...
2 Reactions
8 Replies
926 Views
Wakuu lile chimbo letu la kucheki mechi mbalimbali fawanews kila nikiingia hola, dah uhondo wetu wametuondolea nini?
2 Reactions
18 Replies
5K Views
Nadhani ifike wakati tuletewe matajiri wa maana. Kuna mtu kazira huko kisa jezi kuvuja. Tukisema kuwa amevujisha yeye ili kupata kisingizio cha kukwepa ahadi zake tutakuwa tunakosea...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Back
Top Bottom