Nabi
Yanga 1-1 Al Hilal
Al Hilal 1-0 Yanga
Yanga 0-0 Club Africain
Yanga 0-2 Viper
Mechi ya Zalan tunaifuta ile sio timu ya maana.
Ikumbukwe kwamba toka aje Yanga hajawahi kushinda mechi ya maana...
Hahahaaaa ukistaajabu ya polepolee utafurahia ya mangungu
mwenyekiti wa Simba ameibuka na kusema hawahusiki kabisa na swala la kuvuja jezi
kama viongozi walifanya sehemuyaoo na kama kuna...
Baada ya FIFA kuilima barua Yanga kuhusiana na kitendo chake cha kuichangia na kutoa sapoti ya wazi kwa chama cha siasa, inasemekana utetezi wao umejikita katika kukosekana kwa ushahidi wa kikao...
Huyu mzabuni mpya inaonekana anaingia na nuksi, kwanza jezi zilivuja, wakakanusha kwamba sio zenyewe, kwamba zilizovuja zilikuwa sample, cha kushangaza kumbe ndiyo zenyewe, kuna wengine walisema...
Timu ya ManchesterCity imepoteza mechi ya pili mfululizo katika PremierLeague baada ya kukubali kichapo cha Magoli 2-1 kutoka kwa Brighton, leo Agosti 31, 2025.
Mchezo uliopita City ilipoteza kwa...
Basi, miaka fulani nilikuwa nimeshawahi kufundishwa kubeti, lakini sikuwa nikibeti, Ila ile mechi ya PSG vs Chelsea fainali… ah! niliiona nitupiemo laki 1 kwa PSG nishinde 160K.
Nilijiona usiku...
Simba sc inatakiwa isafishwe abaki muwekezaji tu pale, kuanzia idara ya habari hadi viongozi wote wapigwe chini.
Waanze upya kiuongozi ndio mambo mengine yafuate, unaenda kwenye vita na jopo lile...
Happy Sunday Wana JF,
Sina maneno mengi nadhani Wana sports fainali tulitazama wote iliyofanyikia pale Kenya.
Nilishawahi kusema Morocco ni football brain na Jana wameonyesha hicho kitu, nawaza...
Timu ya LiverpoolFC imeitandika Arsenal kwa Goli 1-0 katika mwendelezo wa Ligi Kuu ya England (EPL) kwenye Uwanja wa Anfield, leo Agosti 31, 2025. Goli pekee likifungwa na Dominik Szoboszlai raia...
Hili limeniacha hoi sana, linapokuja swala la kuvuja kwa jezi tena kwenye taasisi kubwa kama ya Simba na Jrutty.
Hapa tuseme kuna watu ndani ya simba hawana vifua?
Au kuna watu ndani ya...
Yaani wachezaji wanavyocheza unaweza dhani ni timu ya wydad imeletwa kucheza na madagaska,wanacheza kitimu,na hata fighting spirity yao ni ya kitimu,hata mchezaji akifunga wote utaona wamefurahi...
Leo kocha morocco katangaza timu ya taifa,mimi simchukii lakini ni dhahiri hana uwezo wa kufindisha timu ya taifa na hata kuongea hawezi,nimemsikia leo ni wa kumhurumua tu.
Nadhani ni mradi wa...
Miaka 90 si haba..! Kwa michuano ya ndani kama NBC na CRDB si haba inayo mafanikio pia ingawa inajulikana michuano ndani kuna janja janja nyingi, sasa Kimataifa tupoje.?
Simba yenyewe inaendelea...
1. Yanga imeruhusiwa kuwa timu pekee kuutumia uwanja wa Mkapa na mechi zao ni saa moja jioni watu wakiwa wametoka kwenye shughuli zao, Simba wataendelea kutumia uwanja wa KMC mechi za saa kumi...
Wakati wengine wakiendelea kujiimarisha na kujiweka sawa kuukabili msimu ujao, Kuna timu ilienda kuweka kambi hotelini na kujikita katika zoezi la swimming, huku wakicheza na timu za bodaboda wa...
Pamoja na kushinda kutwaa kombe la CHAN24 Madagascar inasalia kuwa timu yenye upambanaji mkubwa sana.
Hata lile goli la tatu nahisi refa hakufanya maamuzi baada ya mchezaji wa madagascar...
Sallam Sk na Majani ndio watu wanao ogopwa sana na wasanii sababu ya misimamo yao kwenye kazi, ukizingua wanakwambia bila kucheka na ukileta masihara kwenye kazi wanakupiga chini. Mwanamuziki...
Ngao ya jamii - wanaume
Ngao yajamii - wanawake
Mashabiki bora Afrika
Ufunguzi wa kishindo AFL
ubunifu - kibegi,simba day,whatsap channel,visit zanzibar
[emoji23][emoji23][emoji23]
Habari wadau
Naombeni majibu ya hili swali.
Kwa nini Aziz kii alietingisha Africa nzima.. na ameisaidia yanga sana na sana kwenye game kubwa na ngumu amekubaliwa kuuzwa kwa dola laki nane...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.