Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Nimeona uchezaji wa mawinga wa simba leo sio stubborn hata kidogo kwa game tough. Morrison katusaidia sana kuleta mivurugano kwa mabeki kwenye game za namna hii. Nawaombeni viongozi wetu...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Kama sikosei huyu Pep ana miaka si chini ya mitatu kwenye mkataba uliopo sasa kwa jinsi timu za EPL zinavyoperform na zilivyoperform misimu miwili iliyopita wakati Pep anachukua ubingwa mfululizo...
2 Reactions
80 Replies
9K Views
HT 0-0 Orlando 77% to win Zbc live Kipindi Cha pili kimeanza ========================== RS Berkane yatwaa ubingwa kwa penati RS Berkane ya Morocco imetwaa ubingwa wa Kombe la Shirikisho...
5 Reactions
81 Replies
7K Views
Wivu hufanya mtu aendelee kudumaa hufikiri ktk mawazo hasi mara zote hufurahia hasara kwa mwenzie kuliko kutatua udumavu wake. Well msimu uliopita @simbaSCTanzania ilikuwa ktk kundi moja na...
8 Reactions
25 Replies
2K Views
Kuelekea kuanza kwa msimu mpya wa ligi pendwa duniani al maarufu EPL hapo Jumamosi ya tarehe 13, Agosti 2021. Hii ndio top 4 yangu kwa msimu huu mpaka inafika tamati. 1. Chelsea FC 2. Man City...
17 Reactions
124 Replies
13K Views
Leo, tuwakumbuke wachezaji kutoka kusini mwa Afrika waliowahi kucheza soka hapa Tanzania, nikianza na Wisdom Ndlovu kutoka Malawi, huyu alicheza Yanga. Unamkumbuka yupi? Endeleaa..
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Vuguvugu na patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara kuendelea kupigwa leo Mei 22, 2022 ambapo Wajimbaji wa dhahabu Geita Gold FC wanakiwasha dhidi ya Mnyama Mkali Mwituni Simba SC kwenye Uwanja wa CCM...
4 Reactions
322 Replies
19K Views
Kuna mbinu zinatumiwa na mawakala wa wachezaji kupandisha thamani ya wachezaji wao. Ni kuzichagiza timu kubwa na pinzani kwa mchezaji wao. Mfano Chama anaongezewa thamani ambayo hana kwa...
4 Reactions
40 Replies
4K Views
𝗜𝗱𝗿𝗶𝘀𝘀𝗮 𝗚𝘂𝗲𝘆𝗲 ni mchezaji wa klabu ya mpira wa miguu ya Paris Saint Germain (PSG) aliyekataa kuvaa jezi ya timu yake ambayo kwa upande wa namba ilikuwa imeandikwa rangi zenye kuashiria mahusiano...
11 Reactions
7 Replies
2K Views
Nimeangalia mechi vs Geita Gold nikabaki natikisa kichwa tu...dah kwa kweli kazi ipo..ukweli ni kwamba mechi ya fainali hiyo trh 28 utopolo ndiye favourite kushinda hata makampuni ya betting...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Liverpool gave City a toughest challenge till the end. Premier league was incredible as always. Congratulations to City though i wished Arsenal took it. I’m excited to see how Tottenham Hotspur...
0 Reactions
2 Replies
803 Views
Simba inaelekea kushika nafasi ya 2 msimu huu lkn kiukweli quality ya wachezaji wake iko chini sana, iko chini mno, mechi wanazopoteza huko mikoani kama dhidi ya kagera, mbeya city, biashara mara...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Makata kudai ambulance kuwepo uwanjani ni suala la kikanuni na Ambulance haikuwepo uwanjani bila kujali kuwa ilikwenda wapi kufanya nini. Ambulance ni gari maalumu lenye miundombinu inayoweza...
15 Reactions
85 Replies
7K Views
Kumekuwa na dhana potofu kuwa Azam na Simba ni maswahiba na kwamba Wanapocheza ushindani hamna kuliko Azam inapocheza na Yanga.Lakn ukifatilia ukweli sio huo, Yanga na Azam ndio zimekuwa kama Pete...
2 Reactions
8 Replies
904 Views
Manchester City imefanikiwa kutetea taji la Premier League msimu wa 2021/2022 baada ya kushinda mchezo wa mwisho wa ligi hiyo kwa mabao 3-2 dhidi ya Aston Villa, leo Mei 22, 2022. Man City...
4 Reactions
9 Replies
2K Views
Nikiwa maeneo fulani hapa mjn songea, nimekutana na wachezaji wa mbeya kwanza na wamepanga kudefense mwanzo mwsho game zd ya Yanga kama walivyofanya tz prison, naamn sare inawahusu.
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Naanza kwa masikitiko ya kinachoendelea katika timu hizi nikiona dalili ya kufa kwa hizi timu kutokana na kupoteza wachezaji wengi sana pasi na kufanya usajili mpaka sasa 1. Chelsea Timu hii...
7 Reactions
45 Replies
3K Views
Kipa wa Simba, Aishi Manula amepata majeraha ya kukatwa na kioo kwenye mkono akiwa katika vyumba vya kubadilishia nguo kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, muda mfupi kabla ya kuanza kwa mchezo wa timu...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Kitendo cha Manchester City kutolewa kwenye mashindano ya UCL kimewavunja moyo Sana kiasi kwamba huenda wakashindwa hata kuwa mabingwa wa EPL. Inaumiza Sana ,ikiwa kila Takwimu...
6 Reactions
33 Replies
3K Views
Leo jumapili 22/05/2022, dirisha la EPL litakuwa linafungwa huku bingwa akiwa bado hajapatikana. Man City na Liverpool watakuwa wanawabia ubingwa. Huku kukiwa na tofauti ya point moja tu. Man...
2 Reactions
42 Replies
3K Views
Back
Top Bottom