News Alert: FT: RS Barkene 1-1 (5-4) Orlando Pirates final

Ibrahim daud

JF-Expert Member
Feb 10, 2013
609
523
HT
0-0
Orlando 77% to win
Zbc live


Kipindi Cha pili kimeanza

==========================

RS Berkane yatwaa ubingwa kwa penati

RS Berkane ya Morocco imetwaa ubingwa wa Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kuifunga Orlando Pirates ya Afrika Kusini kwa penati 5-4 katika fainali iliyochezwa kwenye Uwanja wa Godswill Jijini Uyo, Nigeria, usiku wa kuamkia leo Mei 22, 2022.

Hadi dakika 120 za muda wa maongezi zinakamilika matokeo yalikuwa bao 1-1.

Kabla ya fainali Orlando Pirates iliongoza Kundi B, ikaiondoa Simba katika Robo Fainali na kuifunga Al Ahli Tripoli mabao 2-1.

RS Berkane iliongoza Kundi D ikiwa pointi sawa na Simba, ikaiondoa Al Masry kwa faida ya bao la ugenini katika Robo Fainali, ikaifunga TP Mazembe 4-2 katika Nusu Fainali

Victorien Adebayor wa USGN amefanikiwa kuwa mfungaji bora baada ya kufunga mabao 6
 
Simba wanatisha aiseee ukiangalia hawajamaa wote wawil Yan mm nacheka maana nakula na safar lager kabisa
 
Hapa Kolowizard hawajui wakae upande gani
Kwani na huku vyura bado mna timu mnaishabikia? I thought huwa mnashabikia wapinzani wa mnyama anapokuwa kwenye majukumu ya kimataifa tu maana sisi hatushabikii kilabu chochote zaidi ya chetu ambacho huwa kina fika hizo levels
 
Back
Top Bottom