Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Emanuel Giniki Gisamoda na Gabriel Gerald Geay ni Wanariadha Wawili mpaka sasa wanaotarajia kutuwakilisha kwenye Mashindano ya Dunia yatakayofanyika Eugene, Oregon nchini Marekani, kuanzia Tarehe...
1 Reactions
6 Replies
790 Views
  • Poll Poll
Nani kuibuka kidedea hio kesho saa 4 usiku! Huku benzema kule salah.
2 Reactions
30 Replies
3K Views
Watu tunaojua kuwa Kesho Kipa Aishi Manula hatocheza tunawashangaa kabisa Kutwa mnavyohangaika kututia Moyo. Yaani badala ya kutumia muda wenu mwingi kumjenga Kisaikolojia Kipa wangu bora Simba...
5 Reactions
24 Replies
3K Views
It's greats especially in expanding sports tourism thank mama #SSH for an unique exposure Dar es Salaam. Former Tanzania national football team (Taifa Stars) head coach Marcio Maximo is expected...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Ukweli ni kwamba 'hawajafukuzwa' Kambini tena wapo na ndiyo wanapewa Mazoezi ya maana na 'Maalum' ya Kucheza na Simba SC hiyo Jumamosi tarehe 28 May, 2022 pale CCM Kirumba. Yanga SC hivi sasa...
5 Reactions
33 Replies
3K Views
Mimi nashangaa kweli soka letu la bongo, Yanga wanaelekea kutwaa ubingwa msimu huu lakini mara baada ya mpira kuisha, wakaanza kufukia vitu uwanjani. Makomandoo wa Simba walipoona hivyo, wakazama...
8 Reactions
34 Replies
4K Views
Amini usiamini nchi nzima hii haina bus yale kama yanayotumika nchi zilizoendelea kufanya city guiding tourism , yaani huku team ikishinda ni wachezaji na benchi la ufundi ni kupakizwa kwenye ma...
1 Reactions
6 Replies
700 Views
Baada ya hili Sakata zima la Timu ya Arusha United a.k.a Wana Utalii ya Mkoani Arusha ambayo ilikuwa inashiriki Ligi Daraja la Kwanza na iko chini ya Mlezi wao Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Akiwa anaongea kwenye kipindi cha wapo FM Mwina Kaduguda amesema yeye ni kiongozi wa mda mrefu anaijua vizuri derby na kesho Yanga atamfunga Simba ,sijaelewa kwanini kiongozi huyu wa Zamani wa...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Alikuwa na miaka 37 tu wakati wa kifo chake, miaka 16 baada ya Rais Kenyatta kumfungulia ili aokoe Stars. KATIKA historia ya soka la Kenya inayoanzia miaka ya 1970 kumekuwa na wanasoka wengi...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Mamilioni ya vimulimuli waunda mandhari nzuri usiku wa kiangazi
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu mimi ni mtumiaji mzuri wa azam tv max app kwenye simu yangu, kuna hii ya UTV chaneli kila ukifika muda wa mechi za simba unakuta imeondolewa HAIPO KABISA au ukiikuta na ukaifungua kwa ajili...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Saido na Ambudo wametimuliwa kambini baada ya kutoroka mazoezini na kwenda disco baada ya mchezo wa Biashara dhid ya Yanga ulioisha 1-1. Hivyo hao wachezaji hawatakuwa sehemu ya kikosi jumamosi...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Utopolo wekeni dawa zenu za pressure kwenye mikoba wallet, mifukoni jmosi mtanyeshewa mvua nawapa tahadhari. Simba tunakazi moja ya kuwabutua butua goli za kunawiri. The utopolaz a.k.a Yanga
0 Reactions
10 Replies
743 Views
Taarifa kutoka ndani ya klabu ya Yanga, zinasema klabu hiyo imefikia uamuzi wa kuachana na nyota wake, Saido Ntibazonkiza kufuatia makosa ya kinidhamu ya hivi karibuni na kile kimachodaiwa kuwa...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
[emoji2788] "Msimu huu wa mashindano ya CAF, Simba ya Tanzania ilianzia raundi ya pili ya mchujo. Siyo kwa sababu walikuwa mabingwa wa Tanzania, hapana. Hakuna bingwa wa ligi yoyote anayeanzia...
19 Reactions
35 Replies
3K Views
Habari hii ndugu zangu wana jukwaa hamtaisikia ikiongelewa kwenye "media" zetu za HOFYOHOFYOOOOOO makanjanja huko yalipo yamekunja hadi sura maana week hii wamejaribu kufanya yooote kutingisha...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Jamani mkiambiwa Yanga sc ni mabingwa wa CAf champions league msimu wa 2022/23 msibishe na klabu bingwa ya dunia lazima wafike fainali kama siyo kuwa team ya kwanza Afrika kuchukua kombe hilo...
5 Reactions
30 Replies
4K Views
Back
Top Bottom