Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Shirikisho la Kandanda duniani Fifa limepitisha mpango wa kila timu kutumia kikosi cha majina 26 kwenye fainali za Kombe la Dunia Qatar 2022. Itakumbukwa ongezeko hilo linakuja baada ya hapo...
1 Reactions
0 Replies
836 Views
CAF YAUNGANA NA YANGA KUMNASUA MORRISON, Simba wamechezwa kanya boya na wakili msomi walietaka kumkomoa 😂😂 Baada ya Simba kugoma kumtolea barua ya muachia Mshambuliaji wake Benard Morrison mpaka...
8 Reactions
41 Replies
4K Views
Kwa tunavyofahamu mpira ni kazi kama zilivyo kazi zingine na mtu ili apewe kazi tabia na mwenendo ni kitu muhimu sana. sasa record za Morrison hazirizishi hata kidogo na kundelea kubaki kucheza...
5 Reactions
33 Replies
3K Views
Hebu sikieni Simba SC inahitaji yafuatayo tu na achani Kujambishwa ( Kupanikishwa ) na Propaganda za Usajili za Yanga SC kisha nanyi mnaingia Mtegoni Kwao na Kuharibu kila Kitu kisha Wao...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
“Kujiunga na Amazulu kwangu ni mafanikio makubwa kwani nimekuwa nikiitazama na kuifuatilia kwa muda mrefu. AmaZulu Football inajulikana sana kwetu Zambia kwa sababu watu wengi wanatazama PSL,"...
4 Reactions
2 Replies
2K Views
Kuna taarifa zimenifikia kuwa kocha mpya wa simba atawasili usiku huu nchini. Je, kocha huyo ni nani? Tuvute subira
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kuelekea msimu mpya wa michuano ya CAF yaani Klabu Bingwa na Kombe la Shirikisho. Shirikisho la Mprira Barani Afrika (CAF) limeweka bayana mambo kadhaa. 1. CAF itaruhusu kila klabu kusajili...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kamati ya nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu (FIFA) imeifungia klabu ya Biashara United ya Mara kusajili wachezaji kwa madirisha mawili. Adhabu hiyo imetolewa baada ya Biashara United...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Dah ama kweli waliosema maskini akipata matako hulia mbwata hawakukosea yaani kuna vitu kumbe simba tulikuwa tunachukulia for granted sana , pongezi mbalimbali, ranks za levels za juu afrika, kwa...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Kuna taarifa zinazomuhusu kiungo wa Yanga Feisal Salum kuhitajika na vilabu viwili nje ya Tanzania. Kwenye email rasmi ya Yanga na CEO kuna ofa mbili za Feisal Salum, kutoka klabu ya Ligi kuu...
8 Reactions
41 Replies
4K Views
Salaam Wana JF Baada ya ligue Bora duniani LaLiga kuwapongeza mabingwa wa kihistoria wa NBC premier.......haya ni baadhi ya Mambo niliyaona Kama mchambuzi mahiri wa mpira nchini Tanzania Hii...
4 Reactions
44 Replies
2K Views
Simba Vs Yanga 2020/21 WIN Simba 76.6% Yanga 62% DRAW Simba 15% Yanga 32% LOSE Simba 8% Yanga 6% MATCH GOALS DISTRIBUTION Simba 2.4 goals/match Yanga 2.2 goals/match TOTAL MATCH WINNING Simba...
2 Reactions
8 Replies
4K Views
Sote tunajua wazi simba hawana kocha tangu pablo kutoka real Madrid afukuzwe. Kwa hivyo nafasi yake yupo kocha wa muda ambaye alikuwa msaidizi yaani matola. Wakati haya yakiendelea huko yanga...
6 Reactions
71 Replies
4K Views
Kumbe Israel Patrick Mwenda (Israh) na Pape Osmane Sakho ni ndugu halafu hamsemi?
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetoa taarifa rasmi ya dirisha kubwa la usajili kwa vilabu vinavyo shiriki ligi zote zilizopo chini ya shirikisho hilo la soka nchini Tanzania. Taarifa hiyo...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Kwa muelekeo ninaouna ✓ Mechi zote alizoshinda Yanga, Simba anakwenda kushinda kwa magoli mengi... ✓ Mechi zote alizotoa sare Simba, Yanga wanakwenda kupigwa wakiambulia zaidi ni sare kama ya...
11 Reactions
33 Replies
4K Views
Mwanza. LICHA ya Yanga kubakiza pointi sita kutangaza ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC msimu huu, Kocha wa Simba, Pablo Martin amesema ni mapema sana kukata tamaa kwani kikosi chake kitapambana...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Wakuu muwe salama msiwe salama hainihusu,kikubwa kwangu YANGA BINGWA. Baada tu ya mchezo kuisha jana wafuatao ndio wanapitia wakati mgumu (maumivu mazito)hapa JF÷ 1. GENTAMYCINE (Huyu ndo...
12 Reactions
34 Replies
3K Views
Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) limetangaza nchi 12 ambazo zitatoa timu nne kuwakilisha katika mashindano ya Klabu Bingwa na Shirikisho. • Algeria 🇩🇿 • Angola 🇦🇴 • Congo DR 🇨🇩 • Egypt 🇪🇬 •...
13 Reactions
39 Replies
5K Views
Back
Top Bottom