Full Time| NBC Premier League | Young Africans 2 - 0 Polisi Tanzania | Benjamin Mkapa Stadium |

Kikosi Cha Young Africans.
IMG_20220622_181501.jpg
 
Wamechukua ubingwa still wachangiaji bado wakuokota okota

Kama kwenye mitandao hali iko hivi, huko uwanjani itakuwaje?
 
Looo ligi ya msimu uliopita bado inaendelea, kweli tunaishi nchi nyingine kabisa, wenzetu ratiba ya msimu mpya imeshatoka !,hongera young africans sc kwa kutwaa ubingwa
 
Back
Top Bottom