Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Basi linaonekana kama canter iliyowekewa bodi la basi na mafundi bajaji
2 Reactions
24 Replies
2K Views
SIMBA SC KUMBAKIZA MUGALU Habari kutoka ndani ya Simba zinasema Majeraha aliyoyapata msimu huu Chris Mugaluni moja ya sababu inayopelekea uongozi wa klabu hiyo kutomuacha. Msimu huu...
9 Reactions
84 Replies
5K Views
Nipo naangalia mechi ya coastal vs kagera Akpan victor ni zaidi ya lwanga .jamaa anafika jamaa anakaba .jamaaa anagongana sana Ana mwili mkubwa lakini anakimbia tofauti na lwanga mzito kama...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
  • Poll Poll
JINSI "CHEKECHEA" JWANENG GALLAXY ALIVYOKATISHA NDOTO ZA "GIANT" SIMBA KWA MKAPA Naam wakati ratiba inapangwa Jwaneng Gallaxy walianzia hatua ya PRELIMINARY maarufu kama "chekechea" na Simba...
3 Reactions
9 Replies
917 Views
Wakati wenye Akili tunajua kuwa mnaanzia hatua za Awali kabisa (za Wasiojua) kisha Mechi Moja tu mnarejea Kariakoo.
1 Reactions
36 Replies
2K Views
Watu wa Soka, Juzi Jumanne 21/06/2022 saa 7:00 mchana tulimtambulisha rasmi mchezaji wetu mpya Habib Haji Kyombo ambaye tumemsajili kuja kuongeza nguvu kwenye safu yetu ya ushambuliaji. Kupitia...
3 Reactions
20 Replies
3K Views
Klabu ya Simba imekiri kuwa mkataba wa udhamini wa jezi kati yao na SportPesa umeshamalizika na kwa sasa wapo katika mazungumzo ya mkataba mpya na mdhamini mwingine. CEO wa Simba, Barbara...
5 Reactions
32 Replies
3K Views
Ahmed Ally: Suala la Morrison tunasubiri kocha mpya akija ndio atoe maamuzi kama anatakiwa kubaki au aondoke. Babra: Morrison hakuwa kwenye mipango yetu ndio maana tumempa ruhusa akatafute timu...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Imeeleza hadi kufikia jana, kulikuwa na makocha wawili ambao walikuwa wakiangaliwa kwa mara ya mwisho ili mmoja kupitishwa akiwemo kocha wa zamani wa RS Berkane ya Morocco raia wa nchi hiyo, Tarik...
4 Reactions
30 Replies
4K Views
Watu wa Soka, Leo Singida Big Stars tumeshiriki kongamano la mpira wa miguu maarufu kwa jina la Tanzania Football Summit 2022 linaloendelea hapa visiwani Zanzibar. Pamoja na mambo mengine...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Leo kutakuwa na mtanange wa kukata na shoka kati ya Mabingwa wapya wa Tanzania Bara, Dar es Salaam Young Africans almaarufu kama Yanga dhidi ya timu ya Mbeya City kwenye uwanja wa Sokoine jijini...
2 Reactions
46 Replies
5K Views
Jose Mourinho wants FIFA to stop African players from representing other countries other than that of their origin. He believes once this is done, Africa countries would start winning the World...
7 Reactions
20 Replies
2K Views
Naona jiji la Mbeya hatimaye limefunikwa na timu za kariakoo. Yanga ambao tayar wapo jijin hapa mapema zaidi wakipekowa na mkuu wa mkoa ambaye anajinasibu kuwa ni mwananchi wa Jangwani. Simba...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Tena fanyeni upesi mtafuteni na zungumzeni nayo Simba SC ya sasa inamuhitaji mno Okwi aje Kuungana na akina Phiri na wengineo na nina uhakiika Kikosi chetu kitakuwa Kizuri kuliko mfikiriavyo...
5 Reactions
25 Replies
2K Views
Shirikisho la Mpira wa Miguu Dunia (FIFA) limeifungia Klabu ya Geita Gold inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara, kutosajili wachezaji mpaka itakapomlipa fidia aliyekuwa kocha wao, Mkuu Ettiene...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Cristiano Ronaldo anafikiria kuondoa Manchester United ikiwa timu hiyo haitafanya usajili wa kueleweka katika dirisha hili la sasa. Ronaldo ambaye alirejea klabuni hapo mwaka jana baada ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
"Yanga tunakwenda kuwafundisha watu jinsi ya kushangilia UBINGWA" "Tofauti ya Yanga na timu zingine ni kwenye ufanyaji wa shughuli zake, Just imagine kuna watu ubingwa waliubeba kwenye Kenta"...
7 Reactions
50 Replies
5K Views
Baada ya sakata la release letter kupamba Moto ambapo inadaiwa Morrison aliomba apewe barua ya kuwa huru then uongozi wa Simba uligoma na kutaka club inayomtaka ndio iende ili wapate chochote Kitu...
0 Reactions
65 Replies
5K Views
Mama Samia ni Rais ambae ilikuwa kama kuota ndoto ya mchana kumpata. Mpaka sasa Mama huyu amedhihirisha kufanya mengi ambayo watangulizi wake hawakuyawaza wala kuyaota. Ana bahati sana kwenye...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Ana uwezo mkubwa wa kumiliki mpira,Kontrol km zote na dribbling skills za kutosha. Shida yake kubwa ni kucheza bila malengo. Anacheza bila kuzingatia ni wakati gani akae na mpira na wakati gani...
5 Reactions
5 Replies
933 Views
Back
Top Bottom