Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Nimepata tetesi kwamba kombe letu mpya ni la plasti na limegharimu TFF kiasi cha Tsh 200,000. Kwa kuwa nahisi harufu ya ufisadi-kwani kwa makisio ya haraka kombo hilo halizidi Tsh 20,000/= pamoja...
6 Reactions
14 Replies
1K Views
Haji Manara si alitutambia kuwa mpaka tarehe 28 watakuwa wamemtangaza aziz ki. Vipi mbona kimya?
1 Reactions
2 Replies
575 Views
Vijana wetu wanajitolea kwenda kwao kupigania uhai na taifa lao huku yeye akitetema huku Tanzania, hili haliwezekani, aende kwao akateteme huko, hongera mheshimiwa Mnyeti kwa uzalendo wako
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Mimi bado naamini kiungo Frank Domayo bado ni fundi hasa wa mpira hasa anapocheza kiungo wa chini, Domayo ambaye alipatwa na majeraha sana kiasi kwamba Azam walimpeleka Afrika Kusini kwa matibabu...
0 Reactions
3 Replies
657 Views
Srinagar Mwanamke nyota wa Kriketi kutoka Jammiu na Kashmir Jasia Akhtar, anaenda kuchezea Klabu ya Mohammedan Sporting katika Ligi ya Kriketi ya Wanawake ya Duniani daraja la kwanza ya Dhaka...
0 Reactions
1 Replies
409 Views
Wana msimbazi bila shaka tumeona pira biriani likisakatwa leo ndani ya dimba la Mkapa. Tumeona bonge la performance kutoka kwa wachezaji wa Simba leo na wamejituma kwa hali ya juu. Hivyo haina...
4 Reactions
45 Replies
3K Views
Prof Nabi amenishangaza sana leo. Mara baada ya kutamatika kwa Mechi baina ya Yanga SC na Mtibwa hapa Jangwani Stadium leo tarehe 29/06/2022. Mmoja wa waandishi wa habari kutoka shirika la BBC...
0 Reactions
0 Replies
697 Views
Tumetia fora sana duniani kwa aina Ile ya kushangilia ubingwa, lakini waliotupongeza wanafahamu kuwa Yanga Haina uwanja wake yenyewe pamoja na kuanzishwa 1935? Mara nyingine kila Senti ya baada...
8 Reactions
72 Replies
3K Views
TYCOON BUSINESS 2022 Wale wapenzi wa games basi hii ni fursa kwenu game hili linahusika na masuala ya kiuchumi, teknolojia, utachagua nchi yako ambayo utaunda kampuni yako kisha utaanza kujenga...
3 Reactions
9 Replies
3K Views
By Kashmir Sports Watch Srinagar THE star women cricketer of J&K, Jasia Akhtar, is going to play for Mohammedan Sporting Club in the upcoming Dhaka Premier Division Women Cricket League in...
0 Reactions
1 Replies
611 Views
Mwishoni mwa mwaka huu mashabiki wa soka watapata nafasi nyingine kushuhudia fainali za kombe la dunia zitakazofanyika nchini Qatar. Qatar ni moja ya nchi inayopingwa vikali na mashabiki wengi wa...
17 Reactions
43 Replies
3K Views
Aliekuwa kocha mkuu wa mabingwa wa kihistoria wa club kubwa ya Al Ahyl ya Misri, Pitso Mosimane ameukubali mziki wa mabingwa wa kihistoria Tanzania YANGA kwa namna walivyofanya gwaride la...
19 Reactions
79 Replies
4K Views
Kila pembe ya dunia imeshuhudia hili tukio na kulizungumzia kwa ukubwa wake... Nisiwe na maneno mengi maana maneno bila uthibitisho ni porojo tu. Hebu chekini hapa. Hakika hii ndio klabu kubwa...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
1. Djigui Diara ( Yanga SC ) 2. Shaaban Djuma ( Yanga SC ) 3. Mohammed Hussein Tshabalala ( Simba SC ) 4. Dickson Job ( yanga SC ) 5. Henock Inonga ( Simba SC ) 6. Yannick GENTAMYCINE Bangala (...
11 Reactions
18 Replies
3K Views
Hadi Simba inamtangaza kocha wake Leo hii, hakuna hata mwandishi mmoja wa habari aliyepatia, hii inaonyesha Simba wanaficha taarifa zao, lakini pili waaandishi wetu hawana uwezo wa kuandika...
4 Reactions
5 Replies
790 Views
Andiko la Bernard Morrison: "Mara nyingi tunakatishwa tamaa na wale tunaowapenda na kuwaamini. lakini wacha nifanye hadithi yangu kuwa fupi na rahisi, nahitaji vipande 100 vya jezi za simba kutoka...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Morrison aliondoka Yanga kwa nyodo sana so to me kuona yanga leo wanamtaka tena kwa kweli ni ishara ya kukubali udogo wao dhidi ya simba . Simba wanachukua mchezaji kutoka Yanga akiwa kwenye top...
3 Reactions
15 Replies
928 Views
Najua Mo Dewji, CEO Barbara, Mshauri Magori na Msemaji Ahmed mnanisoma mno tu JF huu ndiyo Ujumbe Kuntu Kwenu.
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Hasira zangu zinaenda kwa Watu hawa Wafuatao.... 1. Mwenyekiti Mangungu 2. CEO Barbara 3. Kocha Msaidizi Matola 4. Meneja Rweymamu 5. Mratibu Abbas 6. Kocha Mkuu Pablo Kuna Watu Wanne tajwa hapa...
6 Reactions
73 Replies
6K Views
Kocha wa Makipa, Tyron Damons atakuwa sio sehemu ya benchi letu la ufundi baada ya mchezo wa mwisho wa Ligi Kuu. Tunamtakia kila la heri huko aendako. Chanzo: Simba Sports Club Akina GENTAMYCINE...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Back
Top Bottom