Nakubaliana na mbunge Mnyeti, akateteme kwao huko kunakoibiwa madini

Vijana wetu wanajitolea kwenda kwao kupigania uhai na taifa lao huku yeye akitetema huku Tanzania, hili haliwezekani, aende kwao akateteme huko, hongera mheshimiwa Mnyeti kwa uzalendo wako
Mnyeti na nyeti na mleta mada wote Mazi ga nyanza
 
Vijana wetu wanajitolea kwenda kwao kupigania uhai na taifa lao huku yeye akitetema huku Tanzania, hili haliwezekani, aende kwao akateteme huko, hongera mheshimiwa Mnyeti kwa uzalendo wako
Huyu mwanasiasa alionyesha udhaifu mkubwa kwa kauli yake hiyo
 
Alikuwa na point lakini tatizo ni kuutumia mfano wa Mayele. Pengine angetolea mfano wa wanamuziki wa Congo, angepata uungwaji wa mkono. Ukifikiria kwa undani, kuna ukweli fulani. Raia wanaume wa Ukraine wengi waliamua kujitolea kuipigania nchi yao, na hao wote wangeweza kukimbia na kuwaachia EU ipeleke majeshi yake
 
Vijana wetu wanajitolea kwenda kwao kupigania uhai na taifa lao huku yeye akitetema huku Tanzania, hili haliwezekani, aende kwao akateteme huko, hongera mheshimiwa Mnyeti kwa uzalendo wako
Huyo Mnyeti kajidhalilisha kwa kauli ya hovyo kama hiyo
 
Vijana wetu wanajitolea kwenda kwao kupigania uhai na taifa lao huku yeye akitetema huku Tanzania, hili haliwezekani, aende kwao akateteme huko, hongera mheshimiwa Mnyeti kwa uzalendo wako
Kweli mapunguani hawaishi ktk ardhi hii,
 
Back
Top Bottom