Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Umeingia kwa 'Pupa' sana katika Vita ya Kusajili ila umesahau kuwa unazungukwa na 'Chawa' wengi wa Simba na Yanga.
10 Reactions
34 Replies
3K Views
Arsenal inafanya mazungumzo na Jack Wilshere (30) ili kumpa nafasi ya kuwa kocha wa timu yao ya vijana Chini ya Miaka 23 na 18 Waliokuwa makocha katika timu hizo, Bosses Kevin Betsy na Dan...
0 Reactions
2 Replies
647 Views
CEO anasema Morrison ameomba mwenyewe aende nyumbani kwao akamalize matatizo ya nyumbani kwao lakini Morrison anasema hakuwa na matatizo ila alilazimishwa aondoke na CEO. Swali ni kama Morriso...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Clean sheet inahesabika pale unapotoka na ushindi bila kuruhusu goli takwimu zinadai kuwa makipa wa Yanga Diarra na Mshery wana Clean sheet 15 na 12 jumla unapata clean sheet 27 hata hivyo Yanga...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Inawezekana amekalia kuti kavu?
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Mmiliki wa timu ya Azam FC, Yusuf Bakhresa sasa ametangaza vita ya usajili kwa msimu ujao akiingia mwenyewe vitani kusaka wachezaji wa kimataifa na ligi za ndani msimu ujao 2022/23 na tayari...
7 Reactions
14 Replies
1K Views
George upo bawna mdogo! Kwa sasa Simba na Yanga sio vilabu vya kujiunga navyo ukiwa tayari umukata kuchezea timu ya taifa. Salamba Adam kamaliza kipaji chake cha Goal getter baada ya kujiunga...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Ukimsikiliza Bernard Morrison unaona kabisa Simba kuna kitu chini ya kapeti kinaendelea ndio maana bwalya kauzwa. Me nafikiri kama mchezaj mmeshindwana mkataba muachane kiroho safi. Kama ni kweli...
5 Reactions
12 Replies
1K Views
NGUMU KUMEZA [emoji434] Mashabiki wa Simba SC na viongozi wanahaki ya kumshangilia George Mpole kama achievement kwao kutokana na sababu kadhaa. [emoji419] Msimu huu klabu ya Simba haina...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Mwanangu George Mpole hongera sana kwa kuonyesha juhudi uwanjani katikati ya ligi iliyojaa wageni wengi, juhudi zako zinatamanisha wapenda soka wote duniani. Lakini lakini lakini bado unahitaji...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Mtunisia kasema anahitaji miezi 2 hadi 3 ili team ipate muunganiko, vilevile kasema mechi ya kesho ni ngumu hawezi kuahidi ushindi sababu yeye siyo mtabiri Kocha mkuu kuanzia tarehe 27 ni...
5 Reactions
18 Replies
2K Views
Nimeangalia Fainali Kombe la Dunia ya Mwaka 1990 iliyofanyika Ujerumani, kwa kweli naona Wajerumani walibebwa na refa, kadi 2 za nyekundu na Maradona kupewa kadi ya njano, ile penati duh
0 Reactions
1 Replies
817 Views
Wanajulikana kuwa ni watalaamu wa kusakata Kabumbu Nchini Tanzania lililothibitishwa na Shirikisho la Soka Barani Afrika CAF, Mnyama Mkali Mwituni Simba SC, leo Juni 29, 2022 yupo ugenini kwenye...
2 Reactions
107 Replies
5K Views
Kwesi Appiah ni.... 1. Mwafrika Mwenzetu 2. Siyo Mgeni kwa Mambo yetu yale ya Uswahili ( Utamaduni ) 3. Mafanikio yake yangekuwa ni Ushawishi wa Moja kwa Moja kwa Waxhezaji wa Simba SC 4...
9 Reactions
30 Replies
2K Views
Nawahimiza yanga waungane na watanzania wote kushangilia kiatu cha dhahabu kuchukuliwa na mzawa/mtanzania. Wakiati umefika kwa wazawa kupata pia mishahara minono kama ya wachezaji wa nje na kuzidi...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Naomba ewe Mwana Simba SC ingia upesi YouTube na utafute huo Wimbo wa "Acquitte' kisha tushee pamoja Maumivu ya Kuukosa Ubingwa wa NBC Mwaka huu na Tusi zito la Nguoni lililoanza na Neno Kolo...
6 Reactions
34 Replies
5K Views
Mayele alipaswa awe ndo mfungaji bora. Inashangaza kabisa huyu George Mpole nani yupo nyuma yake? Ni hujuma zinafanyika ili ufungaji bora asipate Mayele. Na ndiyo kisa cha TFF kutengeneza kombe...
2 Reactions
18 Replies
948 Views
Nimekuwa nikifuatilia namna wamuzi wa Ligi kuu namna wanavyoshindwa kabisa kumlinda Fiston MAYELE. Fiston hapaswi kuchezewa rafu za kipuuzi puuzi. Inapaswa hata akiguswa kwa nguvu kidogo refa...
11 Reactions
31 Replies
2K Views
Mara baada ya kufunga mabao mawili katika ushindi wa mabo 3-0 ambao wameupata dhidi ya Kagera Sugar, straika wa Yanga, Fiston Mayele amezungumza kwa ufupi kuhusu ushindi huo, mbio za ubingwa na...
5 Reactions
13 Replies
3K Views
Kila ukionekana unamshabikia Fiston kwenye mbio za kiatu unaambiwa wewe huyo Fiston si mzawa, sie tunataka Mpole achukue. Kaugonjwa hako kamekwenda hadi kwa waamuzi ambao mara kibao wamekua...
4 Reactions
50 Replies
2K Views
Back
Top Bottom