Jasia Akhtar kucheza Ligi la Wanawake la Dhaka

Abdull Kazi

JF-Expert Member
Dec 29, 2012
322
255
Srinagar

Mwanamke nyota wa Kriketi kutoka Jammiu na Kashmir Jasia Akhtar, anaenda kuchezea Klabu ya Mohammedan Sporting katika Ligi ya Kriketi ya Wanawake ya Duniani daraja la kwanza ya Dhaka nchini Bangladesh.

Jasia, ambaye kwa sasa ni nahodha wa timu ya watu wazima ya wanawake ya Rajasthan, amecheza katika IPL ya Wanawake na mara kadhaa alikaribia kuichezea timu ya Taifa.

Mzaliwa wa Shopian, Jasia alichagua kucheza nje ya J&K na amekuwa mchezaji wa kriketi wa wanawake wa Kashmiri mwenye mafanikio zaidi.

Katika Ligi ya Dhaka, jumla ya timu 11 zitashiriki. Tukio hilo lilianza Mei 18. Jasia pia amekuwa sehemu ya mashindano hayo ikiwa ni mara yake ya pili kuwa nchini Bangladesh

Parvez Rasool,ndiye mchezaji pekee wa kriketi wa J&K katika siku za hivi karibuni aliyecheza mashindano mengi ya kriketi ya kimataifa,akiwa ndiye mchezaji anayetegemewa kwenye mashindanoi hayo kwa upande wa wanaume.

Makala hii imetafsiriwa kutoka katika gazeti la la Great Kashmir


5ECE18F7-B662-473B-B6AD-5D5EE8D4BD7D-edited.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom