fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 6,659
- 9,219
Huyu ni mtangazaji wa mpira wa miguu kutoka Azam TV.Ana staili yake tofauti anapotangaza mpira wa miguu kwa wanawake.Hakika huwa anaburudisha sana maana humtaka kila mchezaji kwa majina yake matatu.Leo saa 2 usiku atatangaza pambano baina ya banyana banyana na Twiga Stars ya Tanzania.Mwenye nafasi leo aangalie hiyo mechi mtakubaliana nami