Dodgers Gamers
Member
- Aug 20, 2025
- 86
- 103
Siku ya kilele cha wiki ya Mwananchi, YANGA mechi itakuwa dhidi ya timu gani?
Ilisemwa itakuwa against Bandari FC kutika Kenya. Ingawaje ka Kamwe kametoa offer kwa Makolo kama wanaona tarehe ya Ngao ya Jamii itakuwa karibu na mechi ya kimataifa basi tumwahirishie bandari ili waonwachukue nafasi hiyo tucheze nao siku ya Mwananchi day.Siku ya kilele cha wiki ya Mwananchi, YANGA mechi itakuwa dhidi ya timu gani?
Kumbe? Shukrani mkuu.
HahahahahaahaIlisemwa itakuwa against Bandari FC kutika Kenya. Ingawaje ka Kamwe kametoa offer kwa Makolo kama wanaona tarehe ya Ngao ya Jamii itakuwa karibu na mechi ya kimataifa basi tumwahirishie bandari ili waonwachukue nafasi hiyo tucheze nao siku ya Mwananchi day.
Bandari ya Kenya, Bandari wametangaza kwenye mitandao ya kijamii kwamba wataizamisha yanga kwa wimbi moja tuSiku ya kilele cha wiki ya Mwananchi, YANGA mechi itakuwa dhidi ya timu gani?
Isije ikawa....Bandari ya Kenya, Bandari wametanga kwenye mitandao ya kijamii kwamba wataizamisha yanga kwa wimbi moja tu
Hako ka Uto baada ya kuona uwanja utapwaya...😀Ilisemwa itakuwa against Bandari FC kutika Kenya. Ingawaje ka Kamwe kametoa offer kwa Makolo kama wanaona tarehe ya Ngao ya Jamii itakuwa karibu na mechi ya kimataifa basi tumwahirishie bandari ili waonwachukue nafasi hiyo tucheze nao siku ya Mwananchi day.
Kanasema hakawezi kumkosa my wa kenyewe hivi hivi!Hako ka Uto baada ya kuona uwanja utapwaya...😀
Kwa kupenda wanaume wenzao ndo shida zaidi kale ka ofisi kameoza...Kanasema hakawezi kumkosa my wa kenyewe hivi hivi!
Mrembo huwa unaumia ukisikia yanga ukiwa wapi?Hako ka Uto baada ya kuona uwanja utapwaya...😀