Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 125,755
- 239,420
Taarifa zinaonyesha kwamba ni timu iliyoanzishwa mwaka 2009 , imeingia ligi kuu kwa mara ya kwanza msimu huu , inafundishwa na raia wa nchi kawaida kisoka ya Austria aitwaye RALPH HASENHUTTI , Mwenye miaka 49.
Mpaka muda huu naandika habari hii wako nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi , nyuma ya vinara Bayern Munich , wakiwa wamejikusanyia point 66 ( bila matokeo ya leo ambapo wapo ugenini na wanaongoza bao 2 kwa 0 dhidi ya Eintracht Frankfurt dk 56 )
Wachambuzi wa soka wanasema kwamba , kama si uimara wa Bayern , timu hii ingebeba ndoo.
Ni nini siri ya ukali wa timu hii ?