Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,122
- 7,183
Uongozi wa timu ya Tabora United umekanusha uvumi unaosambaa kwenye mitandao ya kijamii ukidai timu hiyo iko mbioni kupigwa mnada hali iliyozua taharuki kwa wadau wa soka wa Mkoa wa Tabora wakidai hawakubaliani na jambo hilo kwani timu hiyo imekuwa na manufaa makubwa ya kuwaburudisha, kutangaza mkoa na kuwaongezea kipato kupitia mahitaji mbalimbali ya mashabiki wanaoshuhudia mechi zinazochezwa mkoani hapo.
Soma Pia: TRA yainunua Klabu ya Tabora United
Akiongea na Cg Fm kwa njia ya Simu Mwenyekiti wa Timu hiyo ambaye pia ni Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora SACP Richard Abwao ameeleza kuwa taarifa hizo sio rasmi na kwamba timu inaendelea na maandalizi ya Msimu ujao.