ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 16,748
- 39,304
Coach Romain Folz ameshindwa kupata first 11 yake nadhani kichwa kinamuuma na anakosa usingizi
Kwa utaalam wangu kwakuwa Nina foundation course ya coaching nitamsaidia
Goal keeper
1 Diara
Mabeki
Bacca
Assink
Tshabalala
Mwenda
Hapa nampumzisha
Dickson Job- Ana fatigue anaonekana wazi kama mwili inagoma, inafaa kumpa dakika chache ikiwa mwanzo wa msimu
Mwamyeto - ni beki mzuri anapiga pasi za kuvunja line mbili na ana offer kikubwa kwenye kushambuliwa, tatizo amepoteza confidence
Kibwana- Ni mzuri kwenye kujilinda ila kupanda sio mzuri kama Mwenda, nitampa dakika chache zikipatikana
Boka, ana fitness lakini anapoteza mipira sana
VIUNGO WAKABAJI
Andambwile-
Abuya
Andambwile- sio mzuri anachelewa ku link mipira na Viungo wa mbele lakini na Bora kuliko Control
Hapa namwacha
Conte- hana fitness kabisa, apige gym awe fit hawezi kuhimilinkucheza hata dakika 45
Sure boy- age go atulie asubiri mapinduzi cu
VIUNGO WASHAMBULIAJI
Max Nzegeli
Pacome
Doumbia
Hapa nitawaacha bench
Kouma- huyu namwona kama tapeli tu ni Mchezaji wa kawaida mno, ni slow mno kama konokono, sio mbunifu wa kucheza na washambuaji
Mudathiri - ni mchezaji mzuri ila kwasasa tukubali ana fatigue mno na hawezi kuhimilinkucheza hata dakika 60
Chikola- ni mzuri nadhani ana pressure ya kucheza timu kubwa nitampa dakika chache au nitamtumia kama nitaamua kupanua uwanja na kucheza pembeni
Farid Musa - ni mchezaji mno, coach ampe nafasi amewazidi mbali akina Kouma
Nkane - huyu amegoma kukua, dirisha dogo napeleka Namungo Kwa mkopo
WASHAMBULIAJI
PRINCE DUBE
Dube sio goal getter mzuri sana ila anafanya mikimbio mingi na kuwachosha au kuwazubaisha mabeki, hivo kutoa Kwa play makers wengine kufunga hata asipofunga yeye
NITAWAACHA BENCH
Andy Boyeli - huyu ni tapeli hamna mchezaji, anatembea kama Chiba, hana fitness Kabisa, huyu hata bench haki
Selestin ECUA- ni mchezaji mzuri mno akitulia tatizo anapenda kucheza na jukwaa, akiwa serious atakuwa hata MVP
Nitampa nafasi ikiwa mpinzani amebana au kubaki basi
Mzize - ana majeraha na fatigue hivo nitampa dakika chache tu
Edmund John- huyu bwana mdogo ana kipaji kikubwa mno atakuja kuuzwa 10 billion, nitampa dakika kadhaa ili kukua na kupata uzoefu