Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Upo nyumbani una clinical strikers 3 unaamua kuanza bila straika nafasi zinatengenezwa ila umaliziaji unakua changamoto badala atoe maema ambaye input yake ilikua zero uwanjani unatoa mutale na...
3 Reactions
15 Replies
764 Views
Leo, Mnyama atakuwa katika dimba la Benjamin Mkapa akiwakaribisha Petro Atlético kutoka Angola, mchezo wa Kundi D. Mechi itaanza saa 10:00 jioni. Huu ni mchezo wa kwanza kabisa kwa timu hizi...
4 Reactions
84 Replies
4K Views
Wakuu kama ilivyoada Leo midnight tunatokaje . Direct win, each team to score over, quarter NBA FOREVER HELABET: 32JZ6
5 Reactions
8 Replies
399 Views
Mpaka sasa klabu ya Petro de Luanda kutokea nchini Angola ndiyo inayoongoza kwenye msimamo wa Kundi D, michuano ya CAF Champions League hatua ya makundi mara baada ya kuitandika Simba SC chuma...
4 Reactions
13 Replies
756 Views
GT Mpira wa Tanzania upo ukingoni. Kilichoikuta TP Mazembe na AS Vita kinaenda kutoka TZ belive me. Watz tupo busy na nchi yetu hadi tupate katiba mpya sure I tell you. Kwa sasa tumeyasusia...
20 Reactions
20 Replies
751 Views
Kutaja wachambuzi list hapa tz niwengi sana yani unaona kabisa uchambuzi wao ubalance yani kuonesha hisia zao zipo wapi kwenye saisa,mlengo gani,kuwa upande gani. Katika siku ambayo nilimuona...
2 Reactions
9 Replies
547 Views
Wiki moja kabla ya Mechi ya Jana nilianzisha Uzi hapa Kuonya na kusema kuwa tunafungwa ila Wapumbavu wasiojua Mpira na Wao Mahaba Niue kwa Simba SC yamewatawala Vichwani mwao wakaanza Kunibeza na...
2 Reactions
26 Replies
840 Views
Salut kwenu great thinkers wote wa JF. Kama ilivyoada jana nimepandisha Uzi humu jukwaani kuiombea Mabaya klabu ya YANGA ili apoteze game yake dhidi ya Far Rabat ila Dua yao ikawa kubwa kushinda...
10 Reactions
19 Replies
672 Views
Salut sana waungwana wa JF. Awali ya yote kabisa NaDECLAIRE INTEREST, mimi nilikuwa shabiki kindaki ndaki kabisa wa hii timu kongwe hapa nchini, ila kwa sasa soccer la bongo silipendi kabisa...
10 Reactions
51 Replies
1K Views
“Hali inazidi kua mbaya. Ata baada ya mapunziko marefu ya EPL bado kuna team zinapwetapweta. Walibebwa sana misimu iliopita na system ila sasa ukweli unajiweka wazi. “ -Kuna mlevi anaongea hapa...
5 Reactions
21 Replies
730 Views
Haya CRDB wamemwaga mboga Baada ya Ally kamwe kumwaga ugali TFF na Bodi ya Ligi kuna changamoto Kubwa sana, haya njooni miwape majibu Yanga SC pesa mmepeleka wapi? Pia soma > Ali Kamwe...
14 Reactions
216 Replies
8K Views
Jana kwenye mechi ya Yanga na ASFAR nimeona uwanja wa Aman Complex ukiwa umejaa nusu tu, na kwa sehemu kubwa watazamaji walikuwa ni ndugu wa Abdul. Ndiyo kusema watanganyika waliokwenda...
28 Reactions
25 Replies
1K Views
Wote tuliguna pale makundi ya CHAN yalivyotangazwa. Kenya alipangwa kundi ambalo tulidhani asingetoboa ila mwisho wa siku ameshinda mechi mbili akiwa anacheza pungufu na kamaliza hatua ya mwanzo...
2 Reactions
4 Replies
766 Views
Mabingwa wa Tanzania, Yanga leo wanaanza kucheza mechi ya kwanza dhidi ya Far Rabat ya Morocco katika mechi ya kwanza ya group B, katika mechi itakayochezwa kwenye uwanja wa Amani Complex, Zanzibar
7 Reactions
56 Replies
3K Views
Sometimes Kuna muda saa mbovu husema ukweli Gb64 kammyooshea mikono pacome anasema kwa ligi ya tanzania kashindikana hakuna wa kumgusa pacome .....Nb tuendelee kulinda amani ya Tanzania
2 Reactions
19 Replies
537 Views
Yanga tuna changamoto ya lone striker kwa muda mrefu sana ..leo hii Dube ameanza kuonesha makali
1 Reactions
10 Replies
459 Views
Tanzania imeporomoka kwa nafasi tano kwenye viwango vya ubora vya Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) katika chati ya viwango ya mwezi Novemba. Kichapo cha mabao 4-3 ambacho timu ya Taifa...
1 Reactions
11 Replies
515 Views
Baadhi ya Mashabiki wa Simba waliojilipia nauli zao kusafiri kwenda kuipa support timu yao Nchini Misri Kila shabiki amejilipia Dola 1200 sawa na Milioni 3,126,000. Hili swala la Serikali...
19 Reactions
114 Replies
7K Views
https://www.threads.com/@karokiatv/post/DRUuRngkaks?xmt=AQF0qSZRkYNPyQHdyL2_Lz60WfZ1NwU0wX78-C5CohLqe9mQewGNDs7VZzcR95Va_jwHq_yW&slof=1 Huyu mganga bwege hana akili na Yanga hatumlipi kama ana...
1 Reactions
4 Replies
314 Views
Back
Top Bottom