Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Ukiisoma barua barua ya Yanga baada ya CAS kutupilia mbali shauri lao kwa mtu aliyeenda shule atagundua barua ile imeandikwa kwa mihemuko na makasiriko which is not professional. Ni aibu kwa...
4 Reactions
30 Replies
1K Views
Yaani hadi inachosha, Simba waliandika barua Moja tu, Sasa baada ya hapo Yanga kila siku ni makelele na hawajui nani wa kumlaumu. 😄😆😀😃
6 Reactions
22 Replies
862 Views
Sakata la mchezo wa Dabi ya Kariakoo ambalo Yanga imeapa kuwa haitapeleka timu uwanjani Juni 15, mwaka huu, limechukua sura mpya baada ya kuwasilishwa mahakamani na mmoja wa wanachama wa Yanga...
4 Reactions
36 Replies
3K Views
Msemaji mkuu wa serikali ambaye pia ni katibu mkuu wa wizara ya Habari sanaa, utamaduni na michezo Greyson Msigwa amekabidhi kiasi cha Tsh. Milioni 10 kwa klabu ya Azam kama sehemu ya hamasa...
1 Reactions
0 Replies
224 Views
Oscar Mirambo atakaimu nafasi ya Katibu Mkuu wa TFF akichukua nafasi ya Wilfred Kidao ambayo anamaliza mkataba wake Septemba 30. ====== TAARIFA Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa...
0 Reactions
5 Replies
439 Views
Salam wakuu. Mimi ni mpenzi wa draft,Sasa nimeingia humu jukwaani nikakuta wengi wanalisifia hili draft la dalmax liko plastore. Nikasema ngoja nikalipakue nione Lina nini cha ziada, nimelipakuwa...
5 Reactions
31 Replies
2K Views
Wakuu, Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imekanusha madai yaliyoenea mitandaoni kuwa timu ya Pamba Jiji FC ilifanya mazoezi gizani kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam...
0 Reactions
11 Replies
765 Views
Klabu ya Pamba Jiji yenye makazi yake Jijini Mwanza wanadai kuzimiwa taa wakati wa mazoezi yao ya Mwisho kuelekea mchezo wao dhidi ya Yanga Sc hapo kesho. "Hii ndiyo hali tuliyokutana nayo uwanja...
2 Reactions
14 Replies
732 Views
RC Chacha kama jinamizi la kufungwa na Yanga bado linaendelea. Maana alidai kuna wachezaji walipewa pesa na baadhi ya viongozi wa Yanga ili waachie mechi ================== Mashabiki wa soka...
0 Reactions
3 Replies
345 Views
Kupitia ukurasa wake rasmi wa Instagram aliyekuwa kocha wa Simba Sc Fadlu Davis amewaaga wanasimba Kwa kuandika... "Ni kwa moyo mzito naiaga Simba SC. Tangu nilipowasili, nilihisi shauku ya klabu...
2 Reactions
14 Replies
824 Views
"Kuingia uwanjani saa nne asubuhi wakati mechi inachezwa saa kumi na moja jioni ni mateso. Sio kwamba mashabiki wanataka, hapana, wanajihami. Wanahepuka kadhia ya baadae. Kule kwa wenzetu kila...
9 Reactions
32 Replies
2K Views
Kinachoendelea hapa KMC Complex kwenye mahojiano baada ya Mechi ya KMC dhidi ya Singida BS Kati ya Mtangazaji na makocha Gamond na Maximo ni aibu.
1 Reactions
8 Replies
475 Views
Kichwa cha habari kimebeba maneno ya Msemaji Ahmed Ally akiongelea usajili wa kiungo mpya mkabaji wa Simba Kante. Sitaki kuhafifisha maneno yake maana namuheshimu Sana, lakini kwa hili Kagoma...
1 Reactions
3 Replies
448 Views
Moroko huyu anayebebwa na wenzake. Aliyeishindwa Namungo. Viongozi wanatukomesha tuchukue hatua
4 Reactions
21 Replies
973 Views
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limewatangazia wadau wa mpira wa miguu na umma kwa ujumla kuwa Hafla ya Tuzo za TFF 2025 itafanyika mwanzoni mwa mwezi Desemba. Soma > Mwenye taarifa...
0 Reactions
4 Replies
638 Views
Kuna kiongozi mmoja wa Simba alimtisha kocha Fadlu Davids kuwa watamfukuza kazi kama Simba itakosa ushindi kwenye Mchezo wowote ule Ujao na kama timu haitocheza vizuri ndani ya mechi mbili zijazo...
6 Reactions
27 Replies
2K Views
Kwa makocha wote waliopita Simba ni yeye pakee ndio hupata matokeo mazuri. Ata akiwa na wachezaji wadogo kabisa. Lakini likija swala la upigaji kwenye mikataba, Juma Mgunda malipo yake yatakuwa...
0 Reactions
7 Replies
663 Views
🇹🇿 LIGI KUU TANZANIA BARA . 16:00 KMC FC - Singida Black Stars BETWAY PREMIERSHIP 20:30 Siwelele - Orlando Pirates 🇪🇸 LA LIGA 20:00 Athletic Bilbao - Girona 20:00 Espanyol - Valencia 22:30...
1 Reactions
1 Replies
404 Views
Klabu ya Simba imemtangaza rasmi Hemed Suleiman, anayejulikana zaidi kama Morocco, kuwa Kocha wa muda (Caretaker) kwa mechi za Kimataifa. Uamuzi huu umefikiwa baada ya Kocha Mkuu, Fadlu Davids...
2 Reactions
9 Replies
670 Views
Nimesikitishwa sana na kitendo cha mwanariadha Mtanzania Gabriel Geay kutomaliza mbio za Boston Marathon na kuachia katikati mara baada ya kuvuka 21km. Huu ni ukosefu wa uzalendo na kukata tamaa...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Back
Top Bottom