Football Betting : The House Always Wins

Logikos

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
17,572
Reaction score
27,415
Kuna Systems nyingi watu huwa wanakuja nazo ila mwisho wa siku kutokana na probability na odds zina-favor mtoa odds ni kwamba Bookmaker huwa anashinda tu mwisho wa mwaka, hata ukimpiga leo baada ya muda mrefu hio faida utairudisha maradufu.., unapiga Laki Nne leo alafu unapoteza laki moja moja mara kumi ukifanya accounting basi mwisho wa siku umeliwa.., vilevile anaitwa Book Maker sababu anayeshinda ni pesa za walioshindwa hivyo basi ni mara chache sana vitabu vyake huwa havi-balance anatoa pesa ya walioshindwa anawapa waliopa na chenji inabaki

Kwa watu angalau ambao huwa hawaumii sana ni either wana BET kwa hobby na sio kufanya mradi au wanakuwa na system ambayo haijalishi ujuzi wao wa mpira bali unafuata law of average.., kwamba mfano ni vigumu timu kwenda mwaka mzima bila kuwa na draw yoyote...

Kwahio ukichukua timu moja mfano kwenye Italian League Draw ni nyingi sana.., au kwa kutaka Odds nzuri chukua timu yoyote mfano Everton; kama odds ni 3.2 unaifuatilia msimu mzima..
  • unaweka labda elfu 4 game ya kwanza ya msimu..,
  • kama game hii ikishindikana unakwenda game ya pili unaongeza 50 percent ya mtaji unaweka elfu 6000
  • Kama hii game itashindikana unakwenda game ya tatu unaongeza 50 percent ya mtaji unaweka elfu 9000
  • Ikipata Draw unaanza tena
  • n.k.

Ukiangalia law of average utaona kwamba soon or later hii timu itatoa Draw na mwisho wa msimu utakuwa umepata zaidi ya ulivyopoteza 99%

Lakini utaona kwamba unaweza ukawa umepata faida ndogo sana ambayo its not worth doing it unless you are doing it for FUN pia ni bora ukafanya hivi mwanzoni mwa league sababu kunakuwa na game nyingi hazijachezwa ukifanya mwisho mwisho unaweza ukajutia kama hii timu ambayo huwa kawaida ina draw nyingi ikienda on a loosing streak.

The Safe Way of Not Loosing is not Playing
 
Wazo jema, vijana wanaamini ndoto zao zitatimia katika kamari hii. NAchelea kuwafananisha na machangudoa ambao kwa kisingizio cha maisha magumu wanauza mwili wakati ukweli wa mambo ni kuwa mfumo wa kula juu kama ndege, bila jasho.

Mbaya ni kuwa betting imeharibu Soka la Italia na linaendelea kuharibu soka katika nchi zingine. Betting ndio inasababisha ajali za barabarani hapa kwetu Tanganyika (samahani kwa kutoka nje ya mada).

NAona hasara ya pesa kwa wananchi wa kawaida maana vijana hawafanyi kazi kwa kutegemea bettingi itawatoa na wakati huo wanapoteza kidogo kilichopo. Naona hasara ya nguvukazi kwa kuwa vijana wa mtaani hushinda katika bet house na kuacha kufanya kazi zingine, naona hasara katika uchumi kwa ujumla.
 
Ngoja labda kabla hatujahukumu kama kuna mdau yoyote anayeweza kutuambia kwamba yeye anayo system ambayo ni ya uhakika na mwisho wa siku anapata kuliko anavyopoteza constantly..., naomba ajitokeze sababu mimi sijamuona
 
betting ni ugonjwa, ukishaanza huwezi acha, hasa kama kuna siku ulikuwa pesa mingi, kibongo bongo yani zaidi ya milioni,
,
utaendelea kucheza na kucheza tu kila siku, unajipa matumaini utakuja kula tena, hata kama unaendelea kuliwa tu kila siku.

but the best formula ya kuwin bettt ni kuto-accoumulates too many matches on the same ticket, and not necesarily playing everyday even though there is no winning teams.
 
Kweli kabisa hii kitu ni addictive sana tena sana na kimahesabu hata kama ukichagua timu moja (ambayo ni favourite, returns zinakuwa ndogo) alafu wewe unakuwa na 1/3 ya kushinda wakati bookmaker anayo 2/3 hivyo either draw au timu ambayo haukuichagua ikishinda ni kwamba umeliwa.

Pia watu wanaoweka mikeka mirefu (mara nyingi wanaweka zile timu kubwa kubwa, za nchi tofauti) sasa cha kujiuliza ni kwamba ni mara ngapi ilishatokea timu zote kubwa mfano Barcelona, Real Madrid Chelsea, Bayern, na zile zinazofanya vizuri French na Uholanzi zote zikashinda ? Hapo utakuta kwamba jibu huenda ni mara moja katika kumi.., sasa hata kama ukipiga hio mara moja (which is not guaranteed) na huwa unaweka buku kumi kumi utaona kwamba ni mtaji wa kitu kama elfu tisini kufukuzia hio chance na hata kama ukipiga milioni moja usishangae ukaja kupiga milioni nyingine baada ya kupoteza milioni nne.

Kwahio nadhani mtu angekuwa anaweka kitabu cha loss and profits mwisho wa mwaka huenda watu wangelia ila ni kwamba binadamu ni rahisi kusahau tukipoteza na tunakumbuka siku tuliyoshinda hata kama ni miaka mitano iliyopita
 
Life is game of Numbers, try, tries and try Again until you win
You can not win if the odds / probability is against you.., ngoja nikupe mfano halisi...

Tuseme Celtic ambayo huwa inashinda karibia kila game msimu mzima inacheza games 100 kwa msimu au kwa miaka mitatu...; sasa katika hesabu wameshaona kwamba katika hizo game 100 kuna game 10 huwa wanapoteza au kupata draw... which means ukiweka shilingi kwenye kila game utakuwa umeweka tshs 100 sasa hapo utakuta wanakupa odds ambazo labda kwenye kila shilingi unashinda senti moja...; kwahio kwenye game mia ukishinda zote utakuwa umepata faida ya Tshs. 1 kwa kutumia Tshs 100; lakini wao wanajua kabisa law of average katika hizo mia kuna kumi zitapotea hence in the long run watakuwa na faida...

Na sio hivyo tu hata kama ingekuwa shilingi (kutokana na kupewa raw odds na makodi) wewe ukishinda unawapa shilingi wao wakishinda wanakupa sumni (You have a RaW Deal)
 
Kuna Systems nyingi watu huwa wanakuja nazo ila mwisho wa siku kutokana na probability na odds zina-favor mtoa odds ni kwamba Bookmaker huwa anashinda tu mwisho wa mwaka, hata ukimpiga leo baada ya muda mrefu hio faida utairudisha maradufu.., unapiga Laki Nne leo alafu unapoteza laki moja moja mara kumi ukifanya accounting basi mwisho wa siku umeliwa.., vilevile anaitwa Book Maker sababu anayeshinda ni pesa za walioshindwa hivyo basi ni mara chache sana vitabu vyake huwa havi-balance anatoa pesa ya walioshindwa anawapa waliopa na chenji inabaki

Kwa watu angalau ambao huwa hawaumii sana ni either wana BET kwa hobby na sio kufanya mradi au wanakuwa na system ambayo haijalishi ujuzi wao wa mpira bali unafuata law of average.., kwamba mfano ni vigumu timu kwenda mwaka mzima bila kuwa na draw yoyote...

Kwahio ukichukua timu moja mfano kwenye Italian League Draw ni nyingi sana.., au kwa kutaka Odds nzuri chukua timu yoyote mfano Everton; kama odds ni 3.2 unaifuatilia msimu mzima..
  • unaweka labda elfu 4 game ya kwanza ya msimu..,
  • kama game hii ikishindikana unakwenda game ya pili unaongeza 50 percent ya mtaji unaweka elfu 6000
  • Kama hii game itashindikana unakwenda game ya tatu unaongeza 50 percent ya mtaji unaweka elfu 9000
  • Ikipata Draw unaanza tena
  • n.k.

Ukiangalia law of average utaona kwamba soon or later hii timu itatoa Draw na mwisho wa msimu utakuwa umepata zaidi ya ulivyopoteza 99%

Lakini utaona kwamba unaweza ukawa umepata faida ndogo sana ambayo its not worth doing it unless you are doing it for FUN pia ni bora ukafanya hivi mwanzoni mwa league sababu kunakuwa na game nyingi hazijachezwa ukifanya mwisho mwisho unaweza ukajutia kama hii timu ambayo huwa kawaida ina draw nyingi ikienda on a loosing streak.

The Safe Way of Not Loosing is not Playing
1753270927515.png
 
Kwahio sababu ulishinda correct score yenye odds za kumi inamaanisha ukiweka mara mia moja utashinda mara kumi au huenda mara 91 (ugumu wa ku predict correct score utapigwa chini)?

Pitia hili bandiko

Correct score ndio mbanga zangu, kuna vitu hua naona kwenye odds. Najua nitapoteza mara hata 15 lakini ikipatikana inafidia na kutoka na faida

1753279981500.png
 
Correct score ndio mbanga zangu, kuna vitu hua naona kwenye odds. Najua nitapoteza mara hata 15 lakini ikipatikana inafidia na kutoka na faida

View attachment 3415889
Okay ngoja nichukue mfano wako na tuseme hapo hamna kodi na nimeona mfano wako wa juu kwamba correct score umepewa odds za 10 to 1 Sasa kama your average hit rate ni One in Fifteen kwa odds za 10 imekula kwako in the long run...,

Na huu mfano wa ulioweka hapo wa odds za 45 to 1 hio ni astronomical na ni ngumu kupata every Once in every Fifteen times..., (the 3-2 scoreline appears less than 3%; and best scoreline is 1-1 which appears around 10%) hapo which makes me wonder kama huwa hauna mikeka kama minne ambayo unachagua correct scores tofauti tofauti which minimizes the overall Winning Odds
 
Nyingine hii ya muda huu:
IMG-20250723-WA0005.jpg
 
Nyingine hii ya muda huu:
View attachment 3415970
Twende polepole; umeweza kuchagua correct score yenye odds 14 to 1; sasa nikuulize ukichagua mara 20 hizo odds za 14 to 1 utashinda ngapi au unaweza ukashinda moja ukapata faida ya tshs 6 lakini ukajaribu mara tano nyingine ukakosa zote hivyo kujikuta umepoteta 6 x 20 = 120 Mtaji; moja uliyopata ya 14 hivyo HASARA Tshs 116
 
@Logikos

Unachoongea kinaweza kuwa sahihi au si sahihi.... Inategemea taarifa inamfikia nani.

Ni sawa tu ukamwambia mwekezaji wa madini au mchimbaji kuwa biashara ya madini ni hasara tu,

Sasa kwa mtu mwenye pesa zake hawezi kukuelewa ila wale wakuungaunga wanaweza wakakuelewa au wasikuelewe kabsa.
 
Hapa hakuna uchawi ni mathematics na probability kila kitu kinakuwa kwenye equation ya uwezekano wa kitu fulani kutokea na mwisho wa siku katika uwezekano huo unapewa odds ambazo sio sahihi; Mfano kama unarusha shilingi badala ya wewe ukishinda nikupe shilingi na ukishindwa unipe shilingi ni kwamba ukishinda nakupa senti 90 wewe ukishindwa nachukua shilingi in the long run hata ukipata a winning streak mwisho wa siku mimi taibuka kidedea; Na ukigundua mbinu kesho mimi takaa mezani kuziba loophole
Ni sawa tu ukamwambia mwekezaji wa madini au mchimbaji kuwa biashara ya madini ni hasara tu,
Betting sio Biashara ni bahati nasibu ambayo wewe umepewa raw deal; unless unauza odds au wewe ndio mchezeshaji na sio unayecheza; Unaweza kwenda Benki na kuomba mkopo wa uchimbaji na ukapewa ila nenda benki uombe mkopo wa kuweka mikeka utasikia au kuona watakavyokuangalia; Na Madini itakuwa betting ni kama tu utamwaga pesa bila kufanya upembuzi yakinifu... na ukifuata taratibu 70% kuna uwezekano wa kupata wakati hii in the long run utapigwa tu....
Sasa kwa mtu mwenye pesa zake hawezi kukuelewa ila wale wakuungaunga wanaweza wakakuelewa au wasikuelewe kabsa.
Pesa zake kwenye nini (ukishakuwa na guarantee au uwezekano mkubwa wa kupata hio sio betting tena) ila hii ya kuchagua odds kwenye game of chance ambazo unapewa raw deal huwezi kusema ni viable business
 
Back
Top Bottom