Kuna sms zilisambaa watsup wadada hasa wa chuo wakitumiana sms na apple ili kila mmoja aliweke dp yake kuonyesha kwamba wao ni strong women kumbe wakaka nao wameshayadaka na kuyawekea maana zake...
Hapa ni jambazi akimvamia mtu nyumbani kwwake ila kabla ya kuingia alivua kwanza viatu na kuviacha mlangoni halafu akaingia kufanya mashambulizi.
Mimi ata bure hizi muvi sitizami wallah.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.