Walioweka Dp za apple mitandaoni maana yake ndio hii

Walioweka Dp za apple mitandaoni maana yake ndio hii

Numbisa

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2016
Posts
348,983
Reaction score
1,252,315
Kuna sms zilisambaa watsup wadada hasa wa chuo wakitumiana sms na apple ili kila mmoja aliweke dp yake kuonyesha kwamba wao ni strong women
18011560_1876098225935980_1338911824954785792_n.jpg
kumbe wakaka nao wameshayadaka na kuyawekea maana zake

Dp za apple zimejaa facebook,instagram,WhatsApp n.k
 
Hahaaaaaa kuna kipozeo wangu ameliweka la blu. Nimemtumia kaniblock
Dadeq
 
Back
Top Bottom