amekuwa mkubwa sasa anakula bata ulaya
mbona wanasema ako Kenya hapo hapo, au walindanganya?amekuwa mkubwa sasa anakula bata ulaya
Ni kweli kabisa...Inasemekana huyo mzungu alimchukua kumlea huyo mtoto, wanasema amekuwa na ana afya nzuri sana!