Nywele kwapani, huu ni usafi au uchafu?

Nywele kwapani, huu ni usafi au uchafu?

Numbisa

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2016
Posts
348,895
Reaction score
1,251,916
17931914_1714326445533676_714943537447174144_n.jpg
 
Uchafu. Ila wenzetu wengi huko unyamwezini wanapenda kufuga hiyo kitu. Nadhani ile hali ya baridi kali ni conducive kwao. Jaribu kuyafunga hapa Bongo uone kazi yake.
 
Aisee huku ni shughuli,just imagine upo kwenye daladala unafuraha zako kugeuka upande unakuta jiran yako kainua mkono kwapan ana bonge la msitu lazima stimu zikate tiketi ya bombadear fasta
Uchafu. Ila wenzetu wengi huko unyamwezini wanapenda kufuga hiyo kitu. Nadhani ile hali ya baridi kali ni conducive kwao. Jaribu kuyafunga hapa Bongo uone kazi yake.
 
mkuu sikuhizi huoni kipilipili cha mwanamke labda uzae nae ndiyo utaona nywele za mtoto wako ni proper katani. Mambo ni Brazilian hair na kwapa ni upara kwa kwenda mbele.
Sure vipilipili vimebaki kwa wanaume.. tena wengine nao wanatumia creme relaxer vipilipili vimebaki kwa wasiojua
 
Sure vipilipili vimebaki kwa wanaume.. tena wengine nao wanatumia creme relaxer vipilipili vimebaki kwa wasiojua
Mugabe alisema ukiiba nywele za mdada wa kiafrika ukamloge uchawi unampata mwanamke wa watu Brazil.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom