Pastor Achachanda
JF-Expert Member
- May 4, 2012
- 3,022
- 1,305
Hii sio mbege jamani!
Hawa ni mafundi na hilo ni bomba la kusafirishia zege. Na hapo anakinga zege
Mimi ni mpita njia tuLabda kemekali,au limepasuka sehemu maji kuchanganyika na tope mahali,uko maeneo gani tukusaidie kufikisha taarifa kwa wahusika wa maji?
Swali zuri sana mkuuSasa mnaendelea kukinga kwa lengo gani!!?
Nyani watakuwa wanapigana kwenye vyanzo vya maji sio bure.
Hii sio mbege jamani!
cc miss chagga
Yaani nilikuja mbio...mvua imechafua vyanzo vya maji