Black beauty kajikubali

Numbisa

JF-Expert Member
Dec 12, 2016
278,618
1,128,582
Kujikubali kunakuondoa kwenye utumwa wa kutojiamini. Jikubali uthaminiwe
17881735_1947880788775145_8211494827297079296_n.jpg

Kujipamba kidogo si mbaya hasa pale kwenye mtoko wa nguvu
17881391_289162528186520_6104287561532833792_n.jpg
 
Uzuri katokea familia yenye hela maana angekua kajamba nani angeshajikrim zamaan

Wakenya wanabagua sana weusi kwa majina yao ya dark skin etc
f0d167c5fdfeb110bc4ce80647d049a3.jpg

ukishajua dunain tunatofautiana unakuwa tu una ji proud vile ulivo huku unaendelea na life, Lupita kama hivo ana jiachaga na super black yake na wazungu wenye wanamkubal tu
9aba6a57f8ae28b9f83f1544087eec64.jpg
 
Uzuri katokea familia yenye hela maana angekua kajamba nani angeshajikrim zamaan

Wakenya wanabagua sana weusi kwa majina yao ya dark skin etc
hahaha
sasa wakenya wenyewe nani mweupe kwao, zaid ya wale wa pwani, wakenya ni weusi tii wengi tu.
kwa kina Lupita dingi yake ana pesa hasa
 
Ndio maana huddah na vera wakajibadili rangi ili waepuke masimango
hahaha
sasa wakenya wenyewe nani mweupe kwao, zaid ya wale wa pwani, wakenya ni weusi tii wengi tu.
kwa kina Lupita dingi yake ana pesa hasa
 
Back
Top Bottom