Unafikiri huyu aliwaza nini mpaka akaandika hivi?

The Businessman

JF-Expert Member
Jan 9, 2014
7,404
9,234
1442395128740.jpg
 
Anatangaza jina nyumba yake, maana hiyo sehemu miaka ya mbele pataitwa "Sitaki demu"
 
Kashatendwa huyo! Sasa wafugaji kaeni macho na mbuzi, kuku na mabata aweza wageuza starehe yake!
 
Yupo sahihi unafikiri huyo demu atakura nae nini? Inaonyesha mlamgo wenyewe toka auweke hajawahi kufunga na kufuri inamaana humo ndani hakuna kitu cha maana.
 
Back
Top Bottom